Hii imezidi broMapema sana, wiki tu?... Biashara ya aina yako wako watu wengi mtaani wanafanya hivyo Inahitaji muda kidogo Ili iweze ku click.
Pole mkuuHii imezidi bro
ASante mkuuPole mkuu
Watu wemejenga brand zao huwezi ukaja tu uuze nawe jenga customer base yako tazama wenzio wanafanya nini kuwa tofauti na wao ukiweza nunua ki speaker kiweke kiwe kina tangaza tangazo la bidhaa zako lenye ushawishi.Wakuu tangu nifungue biashara yangu ni wiki Sasa. Mazingira na miundombinu ya hapo ninapofanyia biashara yapo vizuri ila cha ajabu siuzi vile inavyotakiwa.
Yaani mtu anakuja anauliza kidali Tsh ngapi unamwambia bei anakigeuza geuza wee anakitathmini halafu anasema anarudi ndo imeisha hiyo. Nikasema ngoja nishushe bei miguu niuze 100 ila wananipita wanaenda kwingine!
Najiuliza nakosea wapi ila sioni kama Mungu namuomba Kila siku Kila muda hata nikiwa naweka kuku kwenye mafuta naomba pia ila wapi
Sijakuelewa mkuu unaweza fafanua kidogo?Ubora wa biashara, ni vitu viwili tofauti kabisa na miminiko la wateja.
Sawa mkuuWatu wemejenga brand zao huwezi ukaja tu uuze nawe jenga customer base yako tazama wenzio wanafanya nini kuwa tofauti na wao ukiweza nunua ki speaker kiweke kiwe kina tangaza tangazo la bidhaa zako lenye ushawishi.
Mimi ni mwanamke huwa tuna matajiri zetu ukizoea hapo kununua hata aje nani hauendi labda asiwepo utanunua mfano nayanya nazi kitunguu kwingine inaonekana ulianza biashara na matumaini makubwa labda uuze cocaine ndo itakulipa kwa siku sio wiki wewe biashara una wiki ushaanza kulalama ipe muda.
Nina mwonekano mzuri na ni mchangamfu piaMuonekano wako upoje? Haiba yako ipoje? Je ni kauzu au mpole sana au mchangamfu?
Ngoja nikuelezee alichokimaanisha.Sijakuelewa mkuu unaweza fafanua kidogo?
Kama kilomita mojaKutoka hapo ulipo, kuna umbali gani kumfikia mtoa huduma mwingine wa biashara kama yako?
Sawa nimekuelewaNgoja nikuelezee alichokimaanisha.
Yaani amemaanisha kwenye biashara ukiachilia mbali ubora wa bidhaa na bei kuna mambo mengine ya ziada.
Mambo hayo ya ziada hutofautiana kila mtu huwa ana mbinu zake au mambo yake ya ziada tofauti ya kumchota mteja ili asimsahau,akili za mteja zipo kama akili za mtoto mdogo vile unavyomzoesha kitu fulani basi atataka aendelee hivyohivyo na hataki kingine.
Hapa ndio kunaingia mambo ya ucheshi,kutoa ofa/zawadi/nyongeza,kutengeneza kachumbari tamu,buni mbinu zako binafsi za kumchota akili mteja na baada ya miezi kadhaa wanakuzoea na hawatataka kwenda kwa mwingine.
Hujawahi kuona baadhi ya wauzaji wa maduka/duka la Mangi au Mgahawa kwa nje anaweka TV watu waangalie bure ile ni mbinu mojawapo ili wateja wasimsahau iwe muda wote wanawaza kwenda kwake.
Kwa hiyo vumilia ndugu wiki moja ni ndogo mno kuitathmini biashara unatakiwa upambane angalau miezi 6 ili uwe na wateja wako na wewe
Sio mbaya, hapo ulipo jaribu kuweka viti ata vitatu na meza moja kwa ajili ya kukalia wateja, weka ndimu, pilipili, na chachandu yenye ladha ya kuvutia.Kama kilomita moja
Unauza sehemu gani siku nikuungishe pia nikuelekeze chachandu ambayo itakutofautisha na wengine pia kuku wako ukiwaosha na maji watie vinegar ni buku tu inakata shombo yote ya kuku.Wakuu tangu nifungue biashara yangu ni wiki Sasa. Mazingira na miundombinu ya hapo ninapofanyia biashara yapo vizuri ila cha ajabu siuzi vile inavyotakiwa.
Yaani mtu anakuja anauliza kidali Tsh ngapi unamwambia bei anakigeuza geuza wee anakitathmini halafu anasema anarudi ndo imeisha hiyo. Nikasema ngoja nishushe bei miguu niuze 100 ila wananipita wanaenda kwingine!
Najiuliza nakosea wapi ila sioni kama Mungu namuomba Kila siku Kila muda hata nikiwa naweka kuku kwenye mafuta naomba pia ila wapi