- Thread starter
- #121
Kwamba kuku wanaumwa?Huumwi ila biashara yako inaumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba kuku wanaumwa?Huumwi ila biashara yako inaumwa
Mganga mungu, mitishamba Imani mkuuHumu ndani asilimia kubwa hakuna wafanyabiashara bali ni visomi uchwara tu,,, mimi nimekueleza nikupeleke kwa mtaalamu akutengeneze biashara haifanywi kitoto
Chumvi ya mawe Ina povu kwani?
ukishafungua biashara unaweka na kivuta wateja mkuu. Uchawi na uganga una nafasi yake
Swali fikirishi je kabla hujafanya biashara ulifanya utafiti wa soko lako? Na kujua washindani wako wa biashara ni wakina nani nguvu zao na mapungufu yao yakoje na wateja wao ni wakina nani wanaishi wapi, je wewe nguvu zako na mapungufu yako yakoje ukijilinganisha na wao, je wateja wako taraji ni wakina nani nini umekifanya ili kuwavutia, karibu nikusaidie kwa vile najua inawezekana umeanzisha biashara kimazoea kwa kuona wengine wanafanya biashara hiyo inawezekana pia huna tabia ya ujasiriamali kama huna hata moja huwezi fanya biashara yoyoteWakuu tangu nifungue biashara yangu ni wiki Sasa. Mazingira na miundombinu ya hapo ninapofanyia biashara yapo vizuri ila cha ajabu siuzi vile inavyotakiwa.
Yaani mtu anakuja anauliza kidali Tsh ngapi unamwambia bei anakigeuza geuza wee anakitathmini halafu anasema anarudi ndo imeisha hiyo. Nikasema ngoja nishushe bei miguu niuze 100 ila wananipita wanaenda kwingine!
Najiuliza nakosea wapi ila sioni kama Mungu namuomba Kila siku Kila muda hata nikiwa naweka kuku kwenye mafuta naomba pia ila wapi
Humu ndani asilimia kubwa hakuna wafanyabiashara bali ni visomi uchwara tu,,, mimi nimekueleza nikupeleke kwa mtaalamu akutengeneze biashara haifanywi kitoto
Kujiongeza kivipiDunia ya sasa biashara bila kujiongeza utaendelea kusindikiza watu na kuchoma mtaji.
Mkuu waletee ivo vya afu tatu daima usipingane na mteja unachotakiwa ni kuangalia unapata nini hivyo kafungashe mzigo wawekee wakihitaji kingine pia kilete utakuta hata hivyo vingine vinaendaDah mfano kama mimi nauza viatu vya kike rangi 3 bei nayeuza elfu 6 nakutana na watu wanataka viatu vya 3500 na 4000 wengi wakati mimi nina elfu 6 na 7 dah hatari
Dah pole sana mkuu, biashara huwa na changamoto zake, hasa mwanzoni. Ila usivunjike moyo, ni hatua ya kawaida. Cha muhimu sasa hivi ni kuangalia kwanini watu wanapita, labda sio bei tu, inaweza kuwa kuna vitu vingine kama quality ya bidhaa, huduma, au hata presentation ya biashara yako. Watu wengi wanavutiwa na vitu vidogo kama packaging, customer service, na hata promotion zako.Wakuu tangu nifungue biashara yangu ni wiki Sasa. Mazingira na miundombinu ya hapo ninapofanyia biashara yapo vizuri ila cha ajabu siuzi vile inavyotakiwa.
Yaani mtu anakuja anauliza kidali Tsh ngapi unamwambia bei anakigeuza geuza wee anakitathmini halafu anasema anarudi ndo imeisha hiyo. Nikasema ngoja nishushe bei miguu niuze 100 ila wananipita wanaenda kwingine!
Najiuliza nakosea wapi ila sioni kama Mungu namuomba Kila siku Kila muda hata nikiwa naweka kuku kwenye mafuta naomba pia ila wapi