- Thread starter
- #41
SawaHama hapo hmn bahati yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaHama hapo hmn bahati yako
Pole sana mkuu jaribu kutengeneza mobNipo rangi 3 nauza viatu unakuta kwa siku nauza 3 au 2 dah halafu bado kodi nawaza
Wapo mkuu wenye maspika inakuwa kelele yaani unakuta mtu anajaribisha tu anasema ahsante anakula konaPole sana mkuu jaribu kutengeneza mob
Yaani uwe kama kichaa piga makofi na nyimbo ita wateja ikiwezekana weka na spika ya matangazo
Usisubiri waje kwa hiari yao wakati mwingine mteja anaenda sehemu walipojazana watu akiamini ndio kuna huduma nzuri kuliko pale ambapo hamna hata mtu japo bidhaa ni ile ile
Lenga kujaza wateja hata kama hawanunui wanunuzi watakuja
Mtumba au? Umejaribu online?Nipo rangi 3 nauza viatu unakuta kwa siku nauza 3 au 2 dah halafu bado kodi nawaza
Kuna mwamba kitaani akifungua kibanda cha chips. Jamaa mwanzoni alikua akiuza kile kindoo cha rangi cha litre 4 tu.
Jamaa hakugiveup, alikaza zaidi ya miezi kadhaa sahivi anajitajidi kwa siku mbili au tatu anamaliza gunia.
So me naamini biashara ni kutetegemea mabadiriko au faida ndani ya usiku mmoja, maintain quality tu.
Hapana vya dukani vile visimpo na slippersMtumba au? Umejaribu online?
Online si mpka uwe na watu wengi WhatsApp me marafiki sina wengi nakodi inaisha mauzo sielewiMtumba au? Umejaribu online?
Kwa huu umbali huenda umefungua eneo lisilo na biashara,eneo lenye biashara hamuwezi tofautiana kwa umbali mkubwa kiasi hiki hasa kwa biashara unayofanya ya kukuKama kilomita moja
Usikate tamaa kuna siku watanunuaWapo mkuu wenye maspika inakuwa kelele yaani unakuta mtu anajaribisha tu anasema ahsante anakula kona
Hakika mkuu sema baadhi ya viatu vinakaa mpka matoleo yanapitia hasara sana nafikiria nihamie eneoUsikate tamaa kuna siku watanunua
Lakini pia matangazo sio kelele, ni kelele kwa yule ambae halimuhusu ila kwa linaemhusu sio kelele
Mimi kwenye ofisi yangu naweka tangazo muda wote kuna wanaosema nawapigia kelele ila nikilitoa wateja wanauliza tangazo likowapi kidogo nisije nikajua haupo
Kwa hiyo tumia kila mbinu mkuu asaivi ushindani sokoni ni mkubwa sana
Kweli I see mfano huku rangi 3 kila mtu anataka viatu vya 3500Watu wa uswahilini purchasing power yao IPO chini Sana .
Mimi niliwahi kuuza nguo za mtumba grade one nilikuwa nanunua karume nakuja kuuza uswahilini nilikuwa sipati returning yoyote
Lakini nilianza kwenda sinza aisee nilikuwa napata pesa nzuri kabisa.
So Biashara inahitaji uangalie purchasing power
MTU wa uswahilini ukiuza dagaa Michele unauza unamaliza Ila nyama Kama nyama sio Sana .
Pia chumvi ya mawe inasaidia kiasi fulani kurahisisha mambo yaende vzr.
Lugha nzuri
Ila kikubwa angalia purchasing power ipoje katika eneo ulilopo kwanza.
Usiwe unawauzia kuku watu wenye uwezo wa kula mchicha .
Hapana, usijali hii ni kawaidaHii imezidi bro
Duu hasa hapo kuna akiba si tutatumia kabisaHapana, usijali hii ni kawaida
Bado hawajazoea na pia hawakujui
Inabidi uwe na subra sana
Wengine moja kwa moja wanaanza kuwaza Ushirikina na kuanza kuulizia
Ujue biashara nyingi hufa miaka miwili ya kwanza
Ukitoboa hapo basi unaanza kujenga ukaribu na wateja
Kweli I see mfano huku rangi 3 kila mtu anataka viatu vya 3500
Ndio maana wengi hawavukiDuu hasa hapo kuna akiba si tutatumia kabisa
Wakuu tangu nifungue biashara yangu ni wiki Sasa. Mazingira na miundombinu ya hapo ninapofanyia biashara yapo vizuri ila cha ajabu siuzi vile inavyotakiwa.
Yaani mtu anakuja anauliza kidali Tsh ngapi unamwambia bei anakigeuza geuza wee anakitathmini halafu anasema anarudi ndo imeisha hiyo. Nikasema ngoja nishushe bei miguu niuze 100 ila wananipita wanaenda kwingine!
Najiuliza nakosea wapi ila sioni kama Mungu namuomba Kila siku Kila muda hata nikiwa naweka kuku kwenye mafuta naomba pia ila wapi