Leo umeongea kitu ambacho watu wenu walibisha kuwa ukosefu wa mvua siyo tatizo.Kwamba zitanyesha kwa ajili ya bwawa hilo na ratiba ya kulijaza maji ikatolewa,wakati wa upigaji huwa hawaoni,hawasikii wala kufikiria athari zinazoweza kutokea baadaye.Mvua zenyewe zi wapi?
Acha uongo ilikuwa 34%Wakati yuko hai alikua anapika data na kusema liko 85%, sasa hivi waliopo wamesahau wanasema liko 74%!
Awamu ipi? Ilani ya CCM 2020 ndio ilisema hayo kuwa energy mix ndio solution na sio tu gesi mlisema Hadi umeme wa upepo na Joto ardhi.Priority ya awamu hii ni gesi sio hydro electric power.
Huo mradi ni kikwazo kwao.
Ni kama umesuswa. Yanayoendelea huko yanasikitisha mno.
Kipi kipaumbele kati ya Hydropower na hivyo vyanzo vingineAwamu ipi? Ilani ya CCM 2020 ndio ilisema hayo kuwa energy mix ndio solution na sio tu gesi mlisema Hadi umeme wa upepo na Joto ardhi.
Acheni kauli mbili mbili
Hivi una habari hadi JPM anafariki ujenzi ulikuwa hujafikia hata 30%?!Wasiopenda maendeleo ya Tanzania hawataki mradi huu ukamilike mapema.
Dunia ya leo kipaumbele ni Energy Mix...Kipi kipaumbele kati ya Hydropower na hivyo vyanzo vingine
Kipi kipaumbele kati ya Hydropower na hivyo vyanzo vingine
Elimu yako ni very poor. Huko China na uchumi wao mkubwa wanajenga Hydropower kila siku.Dunia ya leo kipaumbele ni Energy Mix...
The question is: mnafanya nini kufikia hilo?! Timu Magu mnadanganyana Bwawa la Nyerere ndo kila kitu!!
Numbers hazidanganyi... watu wapige hesabu waoneIlikuwa ASILIMIA 30+
Inchi hii inawatu wanafki na waongo kabisa .mtu unaongea bila wasiwasi eti mradi umesuswa? Kwani hayati aliucha katika asilimia ngapi? Miongoni mwa dalili ya afya ya akili kumchukia mtu bila sababu.wewe unamchukia mama bila sababu za msingi.Priority ya awamu hii ni gesi sio hydro electric power.
Huo mradi ni kikwazo kwao.
Ni kama umesuswa. Yanayoendelea huko yanasikitisha mno.
Usitake kupotosha,ujenzi wa Bwawa ulisuasua awamu ya 5,, kwa zaidi ya miaka 2 Bwawa lilijengwa kwa 30%Wasiopenda maendeleo ya Tanzania hawataki mradi huu ukamilike mapema.View attachment 2388685
Ni wapuuzi na washenzi hao, wanaweza wakamata watu wajinga wasiofuatilia mambo ambao kimsingi ni wengi..Inchi hii inawatu wanafki na waongo kabisa .mtu unaongea bila wasiwasi eti mradi umesuswa? Kwani hayati aliucha katika asilimia ngapi? Miongoni mwa dalili ya afya ya akili kumchukia mtu bila sababu.wewe unamchukia mama bila sababu za msingi.
N.B acha chuki za kidini,kikabila,na kikanda.
Kama ni hivyo basi Samia kafanya zaidi kuliko NgoshaLpAcha uongo ilikuwa 34%
Mkuu wanasahau potential Energy ya mradi ni ujazo wa maji kwenye bwawa hilo.Leo umeongea kitu ambacho watu wenu walibisha kuwa ukosefu wa mvua siyo tatizo.Kwamba zitanyesha kwa ajili ya bwawa hilo na ratiba ya kulijaza maji ikatolewa,wakati wa upigaji huwa hawaoni,hawasikii wala kufikiria athari zinazoweza kutokea baadaye.
Ubishi ni fani yao ili wale 10% zao kiulaini;Vya Mlevi huliwa na Mgema?
Tanganyika raha sana.
Sifa apewe Rais SSS ndiye kafanya kazi kubwa. Halafu Kumbuka hajanyang'anya fedha za mfanyabiashara yeyote na wafanyakazi wamepata ongezeko la mshahara.Marehemu aliacha ukiwa asilimia ngapi na mwaka mmoja baadae umefika asilimia ngapi!?..yaani yupi kaupeleka kwa kasi kuliko mwingine!?..ili uthibitishe madai yako
Priority ni energy mix.... Currently umeme wa gesi unachangia 60% gridi ya taifa. Sasa sielewi mnaposema umeme wa Maji unahujumiwa ilihali gesi ndio Ina quota kubwa zaidi kwenye gridi.Kipi kipaumbele kati ya Hydropower na hivyo vyanzo vingine