Pamoja na kusuasua ujenzi wa bwawa la JNHP lafikia 74%

Pamoja na kusuasua ujenzi wa bwawa la JNHP lafikia 74%

Hapo bado mifuko ya pension ya wastaafu kukwanguliwa na na kuachwa myeupeeee na pesa zote kupelekwa bwawa la nyerere yaan mzee alikuwa anamawazo ya hovyo sana yule.
Kwa hapa tulipofikia kula ugali ni ANASA.

Awamu ya sita oyeee
 
Priority ya awamu hii ni gesi sio hydro electric power.

Huo mradi ni kikwazo kwao.

Ni kama umesuswa. Yanayoendelea huko yanasikitisha mno.
wewe ni chawa wa nyapara huna lililojema
hujui kinachoendelea huko rufiji
kama unajua nitajie idadi ya wakandarasi waliopo site na kazi zao? nani anafanya nini huko na amefikia wapi
 
Back
Top Bottom