Hapo bado mifuko ya pension ya wastaafu kukwanguliwa na na kuachwa myeupeeee na pesa zote kupelekwa bwawa la nyerere yaan mzee alikuwa anamawazo ya hovyo sana yule.
wewe ni chawa wa nyapara huna lililojema
hujui kinachoendelea huko rufiji
kama unajua nitajie idadi ya wakandarasi waliopo site na kazi zao? nani anafanya nini huko na amefikia wapi