Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #21
Bro nimeambiwa au nimeshuhudia?Nani kakwambia Magufuli na wabunge wake walichaguliwa na wananchi?
Akome si ndio walichokitaka kuiba kula kuapisha mashetani let him face the musicMkurugenzi anasema alifuata taratibu zote na permission ilitoka kuu kumwaga hizo 460M kununua gari. Jumba bovu anaangushiwa DED baada ya info kuleak
Hoja hapa ni mbunge kutetea manunuzi ya gari la mil 460.Mkurugenzi anasema alifuata taratibu zote na permission ilitoka kuu kumwaga hizo 460M kununua gari. Jumba bovu anaangushiwa DED baada ya info kuleak
Kama walitetea/kushindwa kupigia kelele ujenzi wa Airport ya Kimataifa Chato, usitegemee chochote kutoka kwa wabunge wengi wa CCMHoja hapa ni mbunge kutetea manunuzi ya gari la mil 460.
Uchaguzi wa aibu sana huu..taifa limeaibishwa na CCM.Haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni uchafuzi wa demokrasia. Wabunge wa CCM wamepita kwa njia za dhuluma.Unalijua hilo,nalijua hilo na wabunge hao pia wanalijua hilo!
View attachment 1649128View attachment 1649130View attachment 1649131
Acha urongo wabunge hawakuchaguliwa na wananchi na rais mwenyewe hakuchaguliwa na wananchi.Wewe unajua hili,wananchi wanajua na dunia inajua.
Maisha yako hayatuhusu, huna hoja kaa kimya.Hivi wewe na Mimi Nani nyumbu ,una nini zaidi ya kujikombe na wakati mwingine mna rukishwa ukuta ili muweze kula? Mimi nafanya maisha yangu bila kutegemea siasa ila napenda haki.Na sitakujibu Tena.
Kamanda umetupia katuni duh... Huna dogo.The oath of shame!(Kiapo cha aibu)
View attachment 1649139
Rais anapinga ufisadi mbunge anatetea hapa uoni kuna tatizo?Bora umemwambia, kilichofanyika kwenye ule uchaguzi kila mtu amekiona. Na kwa vyovyote vile bunge hilo halitaweza kusimamia maslahi ya vipao mbele vya wananchi, bali litasimamia vipaombele vya rais.
Chief V8 mil 400 ipo mkuu kwani ile VXR V8 si inacheza hiko?Hapana kwenye manunuzi kuna deal kubwa zinafanyika. Hata hiyo V8 ni mtu binafsi haiwezi kufika mil 460.
🤣🤣🤣Kamanda umetupia katuni duh... Huna dogo.
Unataka kuununua?Kwani huu uwanja wa ndege chato ni bei gani labda
Ukisikia maongenzi ya mkurugenzi wa geita ,kwa jinsi anavyoongea KWA kujiamini, nafikili ajakwiba pesa,Katika suala la mh kanyasu nakuunga mkono;
Anateteaje udhalim?? Au kunamahala amehusika katika sakata hili kwa namna moja au nyingine??🤔🤔