Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

Mkurugenzi anasema alifuata taratibu zote na permission ilitoka juu kumwaga hizo 460M kununua gari. Jumba bovu anaangushiwa DED baada ya info kuleak
 
Kweli kabisa ulikuwa Ni unyama mana matokeo walishapanga wenyewe kabla
 
Tahira ni tahira tu eti walipitishwa kwa mgongo wa raisi mwizi kwani yeye nani kamchaguwa hahachaguliwa kama vile hao wabunge hawajachaguliwa na bado mutafedheheka na laana juu mashetani majizi makubwa nyie
 
Mkurugenzi anasema alifuata taratibu zote na permission ilitoka kuu kumwaga hizo 460M kununua gari. Jumba bovu anaangushiwa DED baada ya info kuleak
Akome si ndio walichokitaka kuiba kula kuapisha mashetani let him face the music
 
Mkurugenzi anasema alifuata taratibu zote na permission ilitoka kuu kumwaga hizo 460M kununua gari. Jumba bovu anaangushiwa DED baada ya info kuleak
Hoja hapa ni mbunge kutetea manunuzi ya gari la mil 460.
 
Acha urongo wabunge hawakuchaguliwa na wananchi na rais mwenyewe hakuchaguliwa na wananchi.Wewe unajua hili,wananchi wanajua na dunia inajua.

Bora umemwambia, kilichofanyika kwenye ule uchaguzi kila mtu amekiona. Na kwa vyovyote vile bunge hilo halitaweza kusimamia maslahi ya vipao mbele vya wananchi, bali litasimamia vipaombele vya rais.
 
Hivi wewe na Mimi Nani nyumbu ,una nini zaidi ya kujikombe na wakati mwingine mna rukishwa ukuta ili muweze kula? Mimi nafanya maisha yangu bila kutegemea siasa ila napenda haki.Na sitakujibu Tena.
Maisha yako hayatuhusu, huna hoja kaa kimya.
 
Bora umemwambia, kilichofanyika kwenye ule uchaguzi kila mtu amekiona. Na kwa vyovyote vile bunge hilo halitaweza kusimamia maslahi ya vipao mbele vya wananchi, bali litasimamia vipaombele vya rais.
Rais anapinga ufisadi mbunge anatetea hapa uoni kuna tatizo?
 
Katika suala la mh kanyasu nakuunga mkono;
Anateteaje udhalim?? Au kunamahala amehusika katika sakata hili kwa namna moja au nyingine??🤔🤔
Ukisikia maongenzi ya mkurugenzi wa geita ,kwa jinsi anavyoongea KWA kujiamini, nafikili ajakwiba pesa,
 
Back
Top Bottom