Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

Kweli kabisa, mimi nilikuwa msimamizi wa uchaguzi huu, katika kituo changu Lissu alipata kura 79 na Magufuli kura 31 lakini matokeo yaliyo bandikwa ni lissu 06 na Magufuli 370 hapakuwa na uchaguzi ilikuwa ni ujinga tu.
Ee Mola tunaomba ulinusuru hili Taifa. Kama ni hivyo kweli, tuna shida kubwa. Ni kama Taifa lililoja MASHETANI.
 
Tahira ni tahira tu eti walipitishwa kwa mgongo wa raisi mwizi kwani yeye nani kamchaguwa hahachaguliwa kama vile hao wabunge hawajachaguliwa na bado mutafedheheka na laana juu mashetani majizi makubwa nyie
Hujui nani alimchagua?
 
Rais anapinga ufisadi mbunge anatetea hapa uoni kuna tatizo?

Rais anapinga ufisadi jukwaani, haoni kuwa tatizo ni mfumo? Rais anachofanya ni kucheza siasa za kiki. Maamuzi ya kununua hilo gari yamefuata taratibu zote za manunuzi.

Kama hakuridhika na huo ununuzi, angeanza na wote walioshiriki kwenye mchakato mzima wa ununuzi wa hilo gari. Hii ni ikiwemo na waziri/katibu Mkuu Tamisemi.

Kwa taarifa yako kwa mtindo huo, hata rais anapaswa kutumbuliwa kwa ufisadi, maana hata yeye anatumia magari mengi na ulinzi ambao hauendani na hali ya usalama inayohubiriwa.

Lakini kwakuwa tuna bunge kibogoyo ndio maana wanasubiri kucheza beat za rais. Kwa wenye upeo mdogo wanaweza kuamini rais anapambana na ufisadi, ukweli ni kuwa rais anapambana na matumizi ya neno fisadi.
 
Hakukuwa na uchaguzi, bali yalikuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Yaani mtu kuongea vile kwenye kamera ndio hajacheza dili?
Dili anaweza akawa kacheza ,sikatai japo kwa jinsi anavyo ongea Kuna matumain flan hivi kwamba hajakwiba maana Kuna mwingine akijieleza unaona kabisa kwamba ni mwizi
 
We kijeba wa Jf sijakuelewa? Unasema rais anatumia magari mengi tofauti na mahitaji ya ulinzi wake? We unajua ana maadui wangapi sasa hivi? Hujui ameziba mianya ya mafisadi na mabeberu? Usiongee kujifurahisha.

Rais anapambana na ufisadi ndio maana mafisadi wanamchukia na mapato ya taifa yameongezeka.

Hayo ya v8 la mil 460 tusubiri uchunguzi.Ila hatuwezi kuwafumbia macho wabunge wanaotetea mafisadi.
 
Dili anaweza akawa kacheza ,sikatai japo kwa jinsi anavyo ongea Kuna matumain flan hivi kwamba hajakwiba maana Kuna mwingine akijieleza unaona kabisa kwamba ni mwizi
Ulishashuhudia wezi wakijitetea mahakamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…