Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
-
- #61
Kwa hiyo huamini?Museven naye leo kawaahidi Waganda uchaguzi huru na haki.
Nimebaki najichekea tu mwenyewe.
No wonder huwa tunarushiwa ndizi maana kuna mambo huwa tunafanya unaona hata kima ana afadhaliHakukuwa na uchaguzi, bali yalikuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
We kijeba wa Jf sijakuelewa? Unasema rais anatumia magari mengi tofauti na mahitaji ya ulinzi wake? We unajua ana maadui wangapi sasa hivi? Hujui ameziba mianya ya mafisadi na mabeberu? Usiongee kujifurahisha.
Rais anapambana na ufisadi ndio maana mafisadi wanamchukia na mapato ya taifa yameongezeka.
Hayo ya v8 la mil 460 tusubiri uchunguzi.Ila hatuwezi kuwafumbia macho wabunge wanaotetea mafisadi.
Kwa hiyo huamini?
Hizi akili zitawachelewesha sana nyumbu kukijenga chama, yaani ccm yenye wanachama million 15+ ndo useme hawakuchaguliwa na wananchi?Acha urongo wabunge hawakuchaguliwa na wananchi na rais mwenyewe hakuchaguliwa na wananchi.Wewe unajua hili,wananchi wanajua na dunia inajua.
Biashara za namna gani zinafungwa? Huenda ndio zile za wajanja ambao walikuwa hawalipi kodi. Vipi kuhusu mzunguko wa pesa za mafisadi ambazo zimezibwa?Nasema hivi, kama ni ufisadi hata yeye ni fisadi kutokana na matumizi makubwa ya fedha kwa ulinzi usioendana na hali ya usalama tunayoambiwa ipo. Narudia tena, rais hapambani na ufisadi, bali anapambana na matumizi ya neno fisadi. Hakuna ufisadi unapambaniwa jukwaani huku mifumo yote ikiwa wazi kama ilivyofanyika kwenye manunuzi ya hilo gari. Mapato ya taifa yanaongezeka huku biashara zinazidi kufungwa, na hakuna wawekezaji serious tena!? Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.
Najua inauma sana kusikia bunge lote ni kijani.
Umeanza ramli chonganishi?🤣🤣🤣Inauma au ni aibu na fedheha kwa taifa? Huu uandishi ni wa Id 2 humu jukwaani chagu wa malunde, igunduge
hizi akili zitawachelewesha sana nyumbu kukijenga chama, yaani ccm yenye wanachama million 15+ ndo useme hawakuchaguliwa na wananchi?
mara zote ushindi wa nyumbu hutokana na migogoro ya wana ccm ambayo huwagawa wanachama.
Mikutano ya Ccm ikijaa mnasema wanasombwa na malori, wanachama wakinunua kadi mnaleta uongo.Kwa taarifa yako ccm haina wanachama Hata 5m nchi hii. Labda useme wameuza kadi 10m, hapo sawa maana kadi ya ccm ni sh 500, na watu wananunua ili kupata upendeleo wa mifumo. Awamu hii ya wapika data, tunashangaa kwanini hamsemi kuwa ccm ina wanachama 30m.
Mtalaamu wa maandishi😂😂😂 unachekesha sana.Inauma au ni aibu na fedheha kwa taifa? Huu uandishi ni wa Id 2 humu jukwaani chagu wa malunde, igunduge
Umeanza ramli chonganishi?🤣🤣🤣
Mimi siwajui hao jamaa kabisa unanifanya nicheke.Uandishi wako uko wazi, na zile Id 2 ziko kimya toka ulipoingia ni hii ya juzi.
Mikutano ya Ccm ikijaa mnasema wanasombwa na malori, wanachama wakinunua kadi mnaleta uongo.
Mimi siwajui hao jamaa kabisa unanifanya nicheke.
Please mr tindo sema Ccm mimi simo,nazungumzia ukweli, sina mlengo ninaofungama nao. Kama wanakodi na kubeba watu mbona hatujaona zaidi ya wanachama wa mashina kukodi magariUnajua tuko Hapa hapa nchini, na mbinu mnazotumia kujaza watu tunazijua. Bila kusomba watu toka mbali kwa vitisho, rushwa na maagizo ya lazima kwa watumishi wa umma hamna watu. Hilo liko wazi, na hizo mbinu mnazotumia ni zile mbinu za ulaya mashariki ya zamani enzi ya udictator, na chama cha kikomunisti cha China.
Ahaaa,umekosa hoja, mimi siwajui hao jamaaHuwa una mbinu za kishamba sana dogo, unachoshindwa kuficha ni mtiririko wako wa uandishi.
Jikite kwenye mada.Huwa una mbinu za kishamba sana dogo, unachoshindwa kuficha ni mtiririko wako wa uandishi.
Nje ya mada, na madai hayana uthibitisho.
Duh..Unajua ujinga ukizidi unakuwa upumbavu