Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

Pamoja na kutumia nguvu nyingi kuwasaidia Wabunge wa CCM kutinga Bungeni dalili zinaonesha watamuangusha Rais Magufuli

Hakukuwa na uchaguzi, bali yalikuwa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
No wonder huwa tunarushiwa ndizi maana kuna mambo huwa tunafanya unaona hata kima ana afadhali
 
We kijeba wa Jf sijakuelewa? Unasema rais anatumia magari mengi tofauti na mahitaji ya ulinzi wake? We unajua ana maadui wangapi sasa hivi? Hujui ameziba mianya ya mafisadi na mabeberu? Usiongee kujifurahisha.

Rais anapambana na ufisadi ndio maana mafisadi wanamchukia na mapato ya taifa yameongezeka.

Hayo ya v8 la mil 460 tusubiri uchunguzi.Ila hatuwezi kuwafumbia macho wabunge wanaotetea mafisadi.

Nasema hivi, kama ni ufisadi hata yeye ni fisadi kutokana na matumizi makubwa ya fedha kwa ulinzi usioendana na hali ya usalama tunayoambiwa ipo. Narudia tena, rais hapambani na ufisadi, bali anapambana na matumizi ya neno fisadi. Hakuna ufisadi unapambaniwa jukwaani huku mifumo yote ikiwa wazi kama ilivyofanyika kwenye manunuzi ya hilo gari. Mapato ya taifa yanaongezeka huku biashara zinazidi kufungwa, na hakuna wawekezaji serious tena!? Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.
 
Acha urongo wabunge hawakuchaguliwa na wananchi na rais mwenyewe hakuchaguliwa na wananchi.Wewe unajua hili,wananchi wanajua na dunia inajua.
Hizi akili zitawachelewesha sana nyumbu kukijenga chama, yaani ccm yenye wanachama million 15+ ndo useme hawakuchaguliwa na wananchi?

Mara zote ushindi wa nyumbu hutokana na migogoro ya wana CCM ambayo huwagawa wanachama.
 
Nasema hivi, kama ni ufisadi hata yeye ni fisadi kutokana na matumizi makubwa ya fedha kwa ulinzi usioendana na hali ya usalama tunayoambiwa ipo. Narudia tena, rais hapambani na ufisadi, bali anapambana na matumizi ya neno fisadi. Hakuna ufisadi unapambaniwa jukwaani huku mifumo yote ikiwa wazi kama ilivyofanyika kwenye manunuzi ya hilo gari. Mapato ya taifa yanaongezeka huku biashara zinazidi kufungwa, na hakuna wawekezaji serious tena!? Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.
Biashara za namna gani zinafungwa? Huenda ndio zile za wajanja ambao walikuwa hawalipi kodi. Vipi kuhusu mzunguko wa pesa za mafisadi ambazo zimezibwa?

Yaani unaposema anafanya ufisadi kwa kuwa na ulinzi usioendana nae una maanisha nini? Anajilipa kwa kudanganya pesa inayotumika? Kwani nani anaeamua ulinzi wake uwe wa namga gani?

Watanzania tunajua amebana ufisadi na mianya ya mabeberu ametengeneza maadui mara mia.
 
hizi akili zitawachelewesha sana nyumbu kukijenga chama, yaani ccm yenye wanachama million 15+ ndo useme hawakuchaguliwa na wananchi?

mara zote ushindi wa nyumbu hutokana na migogoro ya wana ccm ambayo huwagawa wanachama.

Kwa taarifa yako ccm haina wanachama Hata 5m nchi hii. Labda useme wameuza kadi 10m, hapo sawa maana kadi ya ccm ni sh 500, na watu wananunua ili kupata upendeleo wa mifumo. Awamu hii ya wapika data, tunashangaa kwanini hamsemi kuwa ccm ina wanachama 30m.
 
Mikutano ya Ccm ikijaa mnasema wanasombwa na malori, wanachama wakinunua kadi mnaleta uongo.
 
Mikutano ya Ccm ikijaa mnasema wanasombwa na malori, wanachama wakinunua kadi mnaleta uongo.

Unajua tuko Hapa hapa nchini, na mbinu mnazotumia kujaza watu tunazijua. Bila kusomba watu toka mbali kwa vitisho, rushwa na maagizo ya lazima kwa watumishi wa umma hamna watu. Hilo liko wazi, na hizo mbinu mnazotumia ni zile mbinu za ulaya mashariki ya zamani enzi ya udictator, na chama cha kikomunisti cha China.
 
Please mr tindo sema Ccm mimi simo,nazungumzia ukweli, sina mlengo ninaofungama nao. Kama wanakodi na kubeba watu mbona hatujaona zaidi ya wanachama wa mashina kukodi magari
 
Back
Top Bottom