Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hivi hii sikukuu ya Maulid sio muhimu kama ile ya Idd?
Mbona naona huku mtaani kumtoa utadhani hakuna sikukuu?
Shamrasha za hii sikukuu mbona siziona japo leo ni Public Holiday?
Halafu kuna Waislamu hii sikukuu hawaitambui?
Kwenye kalenda leo ilikuwa inaonekana ni sikukuu ya Maulid, ila kuna baadhi ya waislamu(niko nao mtaani)mpaka juzi hata walikuwa hawajui kama leo ni sikukuu kwani nilipowauliza nao wao ndio wanashituka!
Hii nafahamu ni sherehe ya siku ya kuzaliwa Mtume(SAW) ila naona ni tofauti sana na Idd hasa mwaka huu.
Nyie wenzangu huko mnaonaje?
Hata hivyo, Mama ame-tweet kuwatakia Sikukuu njema.