Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Pesa bado hazijamwagika mitaani tu mkuu? Au haujakaa kwenye mfereji?Sikukuu bila pesa ni SAwa na wikiend tu
Kweli hata kanzu sizioni na nilitaka kuhoji pia kuhusu hili la kanzu hapo juu kwenye mada ila nikaona niache kumbe na wewe umeliona.Kumbe leo ni sikukuu?
Sijaona kanzu mpya mtaani kwetu
Basi bora ingekuwa ni siku ya kazi ieleweke moja.Hii sikukuu sisi waislam hatuitambui,nashangaa serikali kutulazimisha kupumzika
Hii sio sherehe ya kunywa mkojo wa firauni ,hii ni mazazi ya mtume s.a.wHivi hii sikukuu ya Maulid sio muhimu kama ile ya Idd?
Mbona naona huku mtaani kumtoa utadhani hakuna sikukuu?
Shamrasha za hii sikukuu mbona siziona japo leo ni Public Holiday?
Halafu kuna Waislamu hii sikukuu hawaitambui?
Kwenye kalenda leo ilikuwa inaonekana ni sikukuu ya Maulid, ila kuna baadhi ya waislamu(niko nao mtaani)mpaka juzi hata walikuwa hawajui kama leo ni sikukuu kwani nilipowauliza nao wao ndio wanashituka!
Hii nafahamu ni sherehe ya siku ya kuzaliwa Mtume(SAW) ila naona ni tofauti sana na Idd hasa mwaka huu.
Nyie wenzangu huko mnaonaje?
Hata hivyo, Mama ame-tweet kuwatakia Sikukuu njema.
View attachment 1979683
Sasa mbona hamuipi uzito?Hii sio sherehe ya kunywa mkojo wa firauni ,hii ni mazazi ya mtume s.a.w
Utasikia mama kaenda mapumzikoniHivi hii sikukuu ya Maulid sio muhimu kama ile ya Idd?
Mbona naona huku mtaani kumtoa utadhani hakuna sikukuu?
Shamrasha za hii sikukuu mbona siziona japo leo ni Public Holiday?
Halafu kuna Waislamu hii sikukuu hawaitambui?
Kwenye kalenda leo ilikuwa inaonekana ni sikukuu ya Maulid, ila kuna baadhi ya waislamu(niko nao mtaani)mpaka juzi hata walikuwa hawajui kama leo ni sikukuu kwani nilipowauliza nao wao ndio wanashituka!
Hii nafahamu ni sherehe ya siku ya kuzaliwa Mtume(SAW) ila naona ni tofauti sana na Idd hasa mwaka huu.
Nyie wenzangu huko mnaonaje?
Hata hivyo, Mama ame-tweet kuwatakia Sikukuu njema.
View attachment 1979683
Yupo ndani nasikia ananshikisha ukuta digi akoHapo Ufipa J J Mnyika yupo ofisini?
Hii ni sawa na Krismas ila haina boxing day!
Bado una matusi ya kichagga hadi leo?Yupo ndani nasikia ananshikisha ukuta digi ako
Nchi inayonuka dhiki sikukuu itatoka wapi ?Hivi hii sikukuu ya Maulid sio muhimu kama ile ya Idd?