Pamoja na kuwa leo ni Public Holiday, mbona ni kama siku ya kawaida tu hatuna hamasa ya sikukuu?

Labda huna mwaliko sehemu mkuu. Wengine tumeshashiba biriani na watoto tunaangalia Rango na Puss in 🥾
 
Sasa mbona hamuipi uzito?
Hii sherehe iko kivingine siyo sawa na ile ya Eid.

Maulid huwa yanasomwa usiku wa kuamkia (mfano leo) na kwa kawaida humalizika usiku sana au karibu ya alfajiri. Ndiyo maana siku kama ya leo huwa ni mapumziko baada ya mkesha wa maulid. Siyo kupita barabarani na kufurahia.
 
Tarehe 19/10/2021, bado wiki moja nzimaaaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…