Pamoja na kuwa na VPN naona masaa 2 sasa Twitter (X) haipatikani.

Natumia Norton VPN toka last week, ila kufika saa 7.30 leo naona Twitter haifunguki.

Je na nyinyi mnapata shida kama ya kwangu?
Mimi kuanzia jana X ndio imeanza kutopatikana bila VPN na sijui ipi iko strong ili niipakue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…