Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,310
- 13,098
Round hii hadi chawa yamepatikana dadek
Natumia Norton VPN toka last week, ila kufika saa 7.30 leo naona Twitter haifunguki.
Je na nyinyi mnapata shida kama ya kwangu?
Vpn gani ipo sawa ndugu na sisi tuingie xChange VPN chief, X ipo hewani kwa VPN
Ila hii dola bana very interesting imagine mtandao ambao Umekuwa Banned ila bado serikali inatumia Mtandao huo huo kutoa taarifa kwa Umma sasa huo umma uta access vipi kama uko barred?
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imetoa tangazo la Teuzi jana Via X very contradictive
Dah,Nina miezi kama 3 sijaingia huko,kuna nini hadi sa hv mnaingia kwa vpn?