KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
sitakiwi kuambiwa karibu bali natakiwa kuambiwa kalale tu...š¤£Kwamba umesha landuka bwashee?
sitakiwi kuambiwa karibu bali natakiwa kuambiwa kalale tu...š¤£Kwamba umesha landuka bwashee?
Ni free au ya unalipia.Norton
Inapatikana Vizuri sanaNatumia Norton VPN toka last week, ila kufika saa 7.30 leo naona Twitter haifunguki.
Je na nyinyi mnapata shida kama ya kwangu?
Pombe na jf kwa pamoja inaenda sambamba ukizingua kesho umasema tu kumradhi nilikua nimelewa kwishaš¤£š¤£sitakiwi kuambiwa karibu bali natakiwa kuambiwa kalale tu...š¤£
Mh! sijawahi kufika hiyo zone!....Pombe na jf kwa pamoja inaenda sambamba ukizingua kesho umasema tu kumradhi nilikua nimelewa kwishaš¤£š¤£
Mimi nahakikisha wiki haipiti bila hizo level ,kwani ndio furaha yangu ilipoš¤£š¤£Mh! sijawahi kufika hiyo zone!....
Duh! kumbuka kujistahi alasivyo utakuwa maarufu tz nzima!!Mimi nahakikisha wiki haipiti bila hizo level ,kwani ndio furaha yangu ilipoš¤£š¤£
Hapo sawa š.Kuna package ya free, lakini uki upgrade kwa ajili ya vitu zaidi kuna malipo
Wabongo wengi ndio kitu wanashindwa kupiga pesa kwa umaarufu wa hovyo ama wa akili ebu wanipe mimi uone ninavyopiga pesa za wajinga.Duh! kumbuka kujistahi alasivyo utakuwa maarufu tz nzima!!
HOW..?Wabongo wengi ndio kitu wanashindwa kupiga pesa kwa umaarufu wa hovyo ama wa akili ebu wanipe mimi uone ninavyopiga pesa za wajinga.
Mtandao ni pesa mkuu content moja tu ni kibunda cha kutosha kulewa na kuwanunulia wapumbavu pombe .HOW..?
okay nishaelewa... najua ni kivipi utatengeneza pesa kupitia kitu kinachoitwa privacyMtandao ni pesa mkuu content moja tu ni kibunda cha kutosha kulewa na kuwanunulia wapumbavu pombe .
Nyonyo za mbambeUnataka kuchungulia nini mule wakati serikali imekataza kiaina