Pamoja na kuwa na VPN naona masaa 2 sasa Twitter (X) haipatikani.

Mbona X inapatikana vizuri tu?

Sasa wewe taja vpn unayotumia ipigwe pini chap
 
Duh! kumbuka kujistahi alasivyo utakuwa maarufu tz nzima!!
Wabongo wengi ndio kitu wanashindwa kupiga pesa kwa umaarufu wa hovyo ama wa akili ebu wanipe mimi uone ninavyopiga pesa za wajinga.
 
Mtandao ni pesa mkuu content moja tu ni kibunda cha kutosha kulewa na kuwanunulia wapumbavu pombe .
okay nishaelewa... najua ni kivipi utatengeneza pesa kupitia kitu kinachoitwa privacy
 
lnawezekana mtandao, ila teknolojia imekuwa sana unaweza kujaribu bypass website
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…