Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tukio la jaribio la kumuua Aliyekuwa Rais Wa Zamani wa Marekani na Mgombe wa Kiti Cha Urais Mh Donald Trump limeibua taharuki na sura mpya ktk siasa za Marekani.
Hata hivyo kama Nchi na Kama Afrika tunalo la kujifunza kwamba Aina yoyote ya uharifu bila kujari anayefanyiwa ni nani tunapaswa kuwa pamoja na kuudhibiti kabla ya kuleta madhara zaidi.
Hii imenikumbusha Tukio la Jaribio la Kumuua Mh Tundu Lissu aliyekuwa Mgombea wa Kiti Cha Urais hapo 2020 liliotokea mwaka 2017.
Cha kushangaza tukio la mchana kweupe hadi leo limekuwa kizungumkuti.
Kwa Upande wa Marekani huwezi kuchezea amani yao ukabaki salama.
Wamarekeni ni watu wanaosimama pamoja kwa ajili ya Nchi yao. Hawana maslahi binafsi linapofika swala la Umoja wao na amani yao.
Afrika na Tanzania tujifunze kwa waliofanikiwa.
Tuache kujifunza kwa Gadafi au Omar Albashir wa Sudani.