Pamoja na Kwamba Donald Trump Ni Mpinzani, aliyempiga Risasi alipatikana Muda huo huo na Amani ikarejea, Africa na Tanzania tunalo la kujifunza?

Mazingira ya Trump yalikuwa ya wazi mno na hata baadhi ya watu waliokuwepo walimuona mshambualiaji. Ya Lissu hata yeye anajichanganya kila siku. Dereva wake amekimbizwa na aliyeshambuliwa. Hawataki hata ahojiwe na Vyombo vya Dola.
Aliyewaondoa FFU waliokuwa wanalinda pale alipopigiwa risasi ni Lissu?
 
nchi itakaa sawa siku akipigwa risasi moja ya viongozi wa ccm tena apigwe afe ndipo tutaelewa somo...... nashangaa sana hata polisi wetu kuendeshwa na wanasiasa ni ufhaifu mkubwa sana...... ila sishangainkwa kada inayochukua watu waliofeli na kujikatia tamaa ya maisha lazima waendeshwe hawawezi simamia misingi ya kazi zao
Itapendeza zaidi
 
Tukio la jaribio la kumuua Aliyekuwa Rais Wa Zamani wa Marekani na Mgombe wa Kiti Cha Urais Mh Donald Trump limeibua taharuki na sura mpya ktk siasa za Marekani.

Hata hivyo kama Nchi na Kama Afrika tunalo la kujifunza kwamba Aina yoyote ya uharifu bila kujari anayefanyiwa ni nani tunapaswa kuwa pamoja na kuudhibiti kabla ya kuleta madhara zaidi.

Hii imenikumbusha Tukio la Jaribio la Kumuua Mh Tundu Lissu aliyekuwa Mgombea wa Kiti Cha Urais hapo 2020 liliotokea mwaka 2017.

Cha kushangaza tukio la mchana kweupe hadi leo limekuwa kizungumkuti.

Kwa Upande wa Marekani huwezi kuchezea amani yao ukabaki salama.

Wamarekeni ni watu wanaosimama pamoja kwa ajili ya Nchi yao. Hawana maslahi binafsi linapofika swala la Umoja wao na amani yao.

Afrika na Tanzania tujifunze kwa waliofanikiwa.
Tuache kujifunza kwa Gadafi au Omar Albashir wa Sudani.
Sawa sawa na kulinganisha “Heaven na Hell”
 
Tatizo likitokea kwa wapinzani machawa hufurahia kama hayawahusu ila likitokea hata kwao itakuwa vyema ili nawao watie akili kidogo tuone watavyolichukuwa.
Ni kukosa umoja na uzalendo. Sio vyema kufurahia baya linalomkuta Mwananchi wa Nchi yako.
 
Tukio la jaribio la kumuua Aliyekuwa Rais Wa Zamani wa Marekani na Mgombe wa Kiti Cha Urais Mh Donald Trump limeibua taharuki na sura mpya ktk siasa za Marekani.

Hata hivyo kama Nchi na Kama Afrika tunalo la kujifunza kwamba Aina yoyote ya uharifu bila kujari anayefanyiwa ni nani tunapaswa kuwa pamoja na kuudhibiti kabla ya kuleta madhara zaidi.

Hii imenikumbusha Tukio la Jaribio la Kumuua Mh Tundu Lissu aliyekuwa Mgombea wa Kiti Cha Urais hapo 2020 liliotokea mwaka 2017.

Cha kushangaza tukio la mchana kweupe hadi leo limekuwa kizungumkuti.

Kwa Upande wa Marekani huwezi kuchezea amani yao ukabaki salama.

Wamarekeni ni watu wanaosimama pamoja kwa ajili ya Nchi yao. Hawana maslahi binafsi linapofika swala la Umoja wao na amani yao.

Afrika na Tanzania tujifunze kwa waliofanikiwa.
Tuache kujifunza kwa Gadafi au Omar Albashir wa Sudani.
Hakuna cha kujifunza hapo ...hawana demokrasia ya kweli kenge hao ndio maana washaua marais wao wa 3
 
Waharifu wote si walikamatwa? Ili kuisafisha Nchi na hizo tuhuma unazowapa.
 
Sisi ni nchi ambayo ina maajabu yake ndani ya Maajabu!

Kwanza nauliza Tanzania kuna uchunguzi gani uliwahi fanyika ukafika MWISHO ?

B
America is a great Nation. Itaendelea kuwa mfano bora dunia nzima.
 
Tatizo likitokea kwa wapinzani machawa hufurahia kama hayawahusu ila likitokea hata kwao itakuwa vyema ili nawao watie akili kidogo tuone watavyolichukuwa.
Inasikitisha sana
 
Mazingira ya Trump yalikuwa ya wazi mno na hata baadhi ya watu waliokuwepo walimuona mshambualiaji. Ya Lissu hata yeye anajichanganya kila siku. Dereva wake amekimbizwa na aliyeshambuliwa. Hawataki hata ahojiwe na Vyombo vya Dola.
Mkuu mbona Lissu yuko nchini na polisi alishaenda hakuna aliyemhoji....wanamuogopa?😅😅😅
 
Back
Top Bottom