Pamoja na Kwamba Donald Trump Ni Mpinzani, aliyempiga Risasi alipatikana Muda huo huo na Amani ikarejea, Africa na Tanzania tunalo la kujifunza?

Mazingira ya Trump yalikuwa ya wazi mno na hata baadhi ya watu waliokuwepo walimuona mshambualiaji. Ya Lissu hata yeye anajichanganya kila siku. Dereva wake amekimbizwa na aliyeshambuliwa. Hawataki hata ahojiwe na Vyombo vya Dola.
Aliyewaondoa FFU waliokuwa wanalinda pale alipopigiwa risasi ni Lissu?
 
Itapendeza zaidi
 
Sawa sawa na kulinganisha โ€œHeaven na Hellโ€
 
Tatizo likitokea kwa wapinzani machawa hufurahia kama hayawahusu ila likitokea hata kwao itakuwa vyema ili nawao watie akili kidogo tuone watavyolichukuwa.
Ni kukosa umoja na uzalendo. Sio vyema kufurahia baya linalomkuta Mwananchi wa Nchi yako.
 
Hakuna cha kujifunza hapo ...hawana demokrasia ya kweli kenge hao ndio maana washaua marais wao wa 3
 
Hakuna cha kujifunza hapo ...hawana demokrasia ya kweli kenge hao ndio maana washaua marais wao wa 3
Waharifu wote si walikamatwa? Ili kuisafisha Nchi na hizo tuhuma unazowapa.
 
Sisi ni nchi ambayo ina maajabu yake ndani ya Maajabu!

Kwanza nauliza Tanzania kuna uchunguzi gani uliwahi fanyika ukafika MWISHO ?

B
America is a great Nation. Itaendelea kuwa mfano bora dunia nzima.
 
Tatizo likitokea kwa wapinzani machawa hufurahia kama hayawahusu ila likitokea hata kwao itakuwa vyema ili nawao watie akili kidogo tuone watavyolichukuwa.
Inasikitisha sana
 
Mazingira ya Trump yalikuwa ya wazi mno na hata baadhi ya watu waliokuwepo walimuona mshambualiaji. Ya Lissu hata yeye anajichanganya kila siku. Dereva wake amekimbizwa na aliyeshambuliwa. Hawataki hata ahojiwe na Vyombo vya Dola.
Mkuu mbona Lissu yuko nchini na polisi alishaenda hakuna aliyemhoji....wanamuogopa?๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ