Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #21
Mjinga pekee asiyejua kwamba hydroelectric power ni environmental friendly energy source. Natural gas ni fossil fuel inachafua mazingira ya anga letu kwa kuemit green house gases ambazo zinaongeza joto duniani.Hydro inaonekana ina bei nafuu kwa sababu gharama za uharibifu wa mazingira haziingizwi kwenye hizo hesabu. Ni kama vile mkaa unaonekana ni nafuu kuliko gesi kwa sababu gharama za deforestation haziingizwi kwenye bei. Tungekuwa tunajumuisha na gharama ya kupanda upya miti na athari katika tabia nchi, bei ya mkaa isingeshikika.
Amandla...
Muhongo Ni afisa masoko anatafuta soko la gesi kwa commison ikikubaliwa umaskini anauagaMuhongo alikurupuka bila kuwa na data , uprofesdor ni pamoja na kuzungumza kisayansi .
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Nakala imfikie MuhongoWachumia tumbo hawataupenda huu uzi
In 1974, the Norwegian Parliament granted license for Norway's largest hydropower project ever. More than 1500 people worked on the development at peak, and the construction was officially concluded in 1988. Today, the Ulla-Førre power system plays a key role in Norwegian energy supply. The watershed covers 2000 sq km. Total output of the power plants is more than 2 gigawatts, or about 7 per cent of the total installed capacity of all Norwegian hydropower plants
Mjinga ni yule anamuita mwenzake mjinga. Uharibu wa mazingira sio suala la emission ya green house gases peke yake. Kuondoa carbon sink kwa kufunika mapori ni environmental damage. Kuzuia natural flow ya maji na kuzuia virutubisho vilivyokuwa vinapelekwa down stream ni uharibifu wa mazingira. Kuongeza joto la maji ambalo lita affect viumbe down stream ni uharibu wa mazingira. Kufyeka mapori ili kujenga barabara za kuhudumia bwawa ni uharibifu wa mazingira. Kujenga kamji kadogo kwa ajili ya wahudumiaji wa mitambo ni uharibifu wa mazingira. Kuua wanyamapori na wadudu wengine waliokuwa wanaishi eneo la mradi ni uharibu wa mazingira. Kujenga distribution network ya umeme katika heritage site ni uharibifu wa mazingira. Huo u environmental friendliness wa huu mradi uko wapi?Mjinga pekee asiyejua kwamba hydroelectric power ni environmental friendly energy source. Natural gas ni fossil fuel inachafua mazingira ya anga letu kwa kuemit green house gases ambazo zinaongeza joto duniani.
Ahaaa, nafikiri kwa busara tu, sababu nchi nyingi duniani wanatumia HEP ni wazi hakuna mtu atakayependekeza matumizi ya gasNaona umenivuta kwa nguvu nije nivuruge hali ya hewa humu ndani. Huyu mleta uzi kasema Norway wanatumia umeme wa maji, hivyo inabidi na sisi tuwaige Norway. Akija mwingine akisema Brazil wanatumia umeme wa gas, na wamepiga hatua kwenye viwanda nao pia tuige? Ama hapa unataka nijadili nini?
Uko sahihi lakini ni mwendawazimu peke yake anayeweza kukubali kwamba inajengwa JNHPP mwaka 2020 kwa kutumia feasibility study na design ya mwaka 1970/72 tutegemee kupata matokeo chanya na endelevu tukizingatia mabadiliko ya teknolojia, hali ya hewa, uchumi na mifumo ya biashara!Pamoja na kwamba Taifa la Norway lina kiwango kikubwa cha gesi linategemea kwa kiasi kikubwa umeme wa maji (Hydroelectric power)
Kwenye suala la umeme uchaguzi wa kutumia umeme wa maji (hydroelectric power) ni bora zaidi ukilinganisha na vyanzo vingine vya umeme.
Nchi ya Norway ni moja ya nchi duniani inayotegemea pia uchumi wa gesi. Lakini pamoja na kwamba Norway wana kiwango kikubwa cha gesi lakini bado umeme wa maji umekuwa wa gharama nafuu na ndio unatumika sana kama chanzo cha umeme.
Kwa Norway umeme wa gesi huwa wanautumia kipindi cha baridi pale ambapo umeme wa maji umezidiwa.
Gesi ni nishati ambayo mara nyingi ni nzuri kwa matumizi ya kupikia. Hivyo mimi nadhani kama serikali ina nia ya kuendeleza uchumi wa gesi. Basi ijikite kuitumia hiyo gesi katika mambo mengine mfano kupikia, na kuanzisha viwanda vinavyotumia gesi asilia. Mfano viwanda vya mbolea ni viwanda ambavyo hutumia gesi asilia kuzalisha mbolea.
Pamoja na kwamba tutaitumia gesi pia kuzalishia umeme lakini tuyape maji kipaumbele cha kwanza kwasababu maji ni bure na pia ni renewable resources. Na uzuri ni kwamba geographia ya taifa letu tumejaliwa vyanzo vingi vya maji, hivyo tukizitumia akili zetu vizuri tutaweza kufanya vizuri hata dunia ikatushangaa.
View attachment 1748264View attachment 1748265View attachment 1748266View attachment 1748267View attachment 1748268
Mjinga pekee asiyejua kwamba hydroelectric power ni environmental friendly energy source. Natural gas ni fossil fuel inachafua mazingira ya anga letu kwa kuemit green house gases ambazo zinaongeza joto duniani.
Sasa, ndio ilishaanza kujengwa, na mkataba tulishaingia. Ndio mchukue kamba mjinyonge. Madaraja tumejenga nendeni mkabomoe, fly over tumejenga nendeni mkabomoe, stendi ya Mbezi tumejenga nendeni mkabomoe, hospitali tumejenga nendeni mkabomoe, meli tumenunua nendeni mkaziuze, Bandari ya Dar tuliipanua nendeni mkaipunguze. Ni hayo tu.Uko sahihi lakini ni mwendawazimu peke yake anayeweza kukubali kwamba inajengwa JNHPP mwaka 2020 kwa kutumia feasibility study na design ya mwaka 1970/72 tutegemee kupata matokeo chanya na endelevu tukizingatia mabadiliko ya teknolojia, hali ya hewa, uchumi na mifumo ya biashara!
Toka lini Norway ni kisiwa na ndogo kuliko zenji?Hizo data sio za zama hizi.TUSIDANGANYANE.Norway kamwe hawatumii hydroelectric power.Wana Mafuta na gesi kibao.Wanatumia Nuclear Plant unaoendeshwa na Gesi.Isitoshe ni kisiwa kidogo hata Zanzibar kubwa.Nchi zote alizozitaja huyo Profesa Bashite mpya hazitumii (H.E.P).Zote zinatumia aidha Nuclear Plants,Gesi,Diesel.Huu mradi wetu ni upotevu wa pesa.Isitoshe Dunia inakabiliwa na janga liitwalo Climate Change,ambalo Mfadhili mkubwa Marekani wamejitoa.Hii hali inasababisha uharibifu mkubwa wa mazingira kama vile joto kali sana,Ukame,Nchi nyingi kugeuka Jangwa n.k.Profesa Original Mr Muhongo yupo sahihi kabisa.Nyie ndio wale CAG aliwataja kwenye ripoti yake.
Norway? Acha kuliaibisha jukwaa chief!Isitoshe ni kisiwa kidogo hata Zanzibar kubwa.
Ahaaa, nafikiri kwa busara tu, sababu nchi nyingi duniani wanatumia HEP ni wazi hakuna mtu atakayependekeza matumizi ya gas
Mpuuzi asiye na akili ni mtu?Profesa Muhongo sio mtu, ama mtu kwako ni nini?
Mpuuzi asiye na akili ni mtu?
Haaa, jikite kwenye mada kuu.Hapo ndio majizi ya kura mtajuana.