Pamoja na kwamba Taifa la Norway lina kiwango kikubwa cha gesi linategemea kwa kiasi kikubwa umeme wa maji (Hydroelectric power)

Pamoja na kwamba Taifa la Norway lina kiwango kikubwa cha gesi linategemea kwa kiasi kikubwa umeme wa maji (Hydroelectric power)

Pamoja na kwamba Taifa la Norway lina kiwango kikubwa cha gesi linategemea kwa kiasi kikubwa umeme wa maji (Hydroelectric power)

Kwenye suala la umeme uchaguzi wa kutumia umeme wa maji (hydroelectric power) ni bora zaidi ukilinganisha na vyanzo vingine vya umeme.

Nchi ya Norway ni moja ya nchi duniani inayotegemea pia uchumi wa gesi. Lakini pamoja na kwamba Norway wana kiwango kikubwa cha gesi lakini bado umeme wa maji umekuwa wa gharama nafuu na ndio unatumika sana kama chanzo cha umeme.

Kwa Norway umeme wa gesi huwa wanautumia kipindi cha baridi pale ambapo umeme wa maji umezidiwa.

Gesi ni nishati ambayo mara nyingi ni nzuri kwa matumizi ya kupikia. Hivyo mimi nadhani kama serikali ina nia ya kuendeleza uchumi wa gesi. Basi ijikite kuitumia hiyo gesi katika mambo mengine mfano kupikia, na kuanzisha viwanda vinavyotumia gesi asilia. Mfano viwanda vya mbolea ni viwanda ambavyo hutumia gesi asilia kuzalisha mbolea.

Pamoja na kwamba tutaitumia gesi pia kuzalishia umeme lakini tuyape maji kipaumbele cha kwanza kwasababu maji ni bure na pia ni renewable resources. Na uzuri ni kwamba geographia ya taifa letu tumejaliwa vyanzo vingi vya maji, hivyo tukizitumia akili zetu vizuri tutaweza kufanya vizuri hata dunia ikatushangaa.

View attachment 1748264View attachment 1748265View attachment 1748266View attachment 1748267View attachment 1748268


Yupo mbunge mmoja aliyekuwa Waziri wa nishati kipindi fulani yeye eti ni profesa!!!, anadai matumizi ya gesi kuzalisha umeme ni bora kuliko matumizi ya maji katika kuzalisha umeme.

Mtu unajiuliza huo uprofesa kaupataje???--- bila shaka uliupata kwa njia ya rushwa.
 
Hali ya Norway ni tofauti. Nchi yao ina miamba na fjords ambayo kwa asili imekuwa ikitumika kuzalisha nishati hata kabla gesi yao ya North Sea kupatikana. Kwa sababu ya miamba, mabwawa yao hayajai matope hata siku moja, na kwa sababu ya wingi wa fjords maporomoko ya maji ni mengi na hivyo kufanya uzalishaji wa umeme kuwa wa gharama ndogo. Ingekuwa vizuri kama ungetuambia Norway imejenga miradi mingapi ya hydro power toka gesi yao ipatikane. Ninavyojua Norway wako mestari wa mbele kupinga ujenzi wa hydropower projects. Ndio maana walikataa kuufadhili huu mradi pamoja na kuwa walifadhili hatua zote za awali za utafiti. Athari ya mabwawa makubwa inajulikana dunia nzima. Ni nchi chache sana ambazo zinawekeza kwenye miradi ya aina hii.

Amandla...


Wewe unaongea mambo ya.ajabu sana.

Hapa Tz tunayo mabwawa mangapi ya umeme wa maji??, tunayo toka lini???, je hadi sasa yameshindwa kuzalisha umeme??, je teknolojia ya leo ya kutengeneza hayo mabwawa ni sawa na teknolojia ya miaka ya nyuma mfano miaka ya 60-70??
 
Unaona sasa akili za ajabu?

Kwani wewe unadhani wanaokuja kuwekeza toka nje huwa na pesa za kuwekeza taslimu?

Mo na Bakhresa ni benki gani inaweza kukataa kuwapa mkopo?
Watanzania wengi hawawezi kuchakata mambo.. Na ni washamba wa wazungu wao wanaamini kitu kifanikiwe awepo mzungu
 
Umeme wa maji bado ni muhimu sana duniani. Hao wakina mhongo na shule zao za kukariri wanataka kuturudisha nyuma.
Hata umeme wa gesi ni mihimu vilevile. Tatizo hatujui mmiliki wa hiyo gesi ni nani na itatugharimu kiasi gani kuzalishia umeme.

Muhongo alikuwa waziri wa nishati. Usijekuta gesi inamilikiwa na wabia wake kibiashara hivyo anapigia upatu biashara yake. Hatujasahau ya IPTL na kina richmond.
 
Hizo data sio za zama hizi.TUSIDANGANYANE.Norway kamwe hawatumii hydroelectric power.Wana Mafuta na gesi kibao.Wanatumia Nuclear Plant unaoendeshwa na Gesi.Isitoshe ni kisiwa kidogo hata Zanzibar kubwa.Nchi zote alizozitaja huyo Profesa Bashite mpya hazitumii (H.E.P).Zote zinatumia aidha Nuclear Plants,Gesi,Diesel.Huu mradi wetu ni upotevu wa pesa.Isitoshe Dunia inakabiliwa na janga liitwalo Climate Change,ambalo Mfadhili mkubwa Marekani wamejitoa.Hii hali inasababisha uharibifu mkubwa wa mazingira kama vile joto kali sana,Ukame,Nchi nyingi kugeuka Jangwa n.k.Profesa Original Mr Muhongo yupo sahihi kabisa.Nyie ndio wale CAG aliwataja kwenye ripoti yake.
Hapa chini ni taarifa kwa kutumia google:





Search Results​

Featured snippet from the web​

Image result for source of power in Norway

Almost all electricity produced in Norway comes from hydro power. The share of electricity generated from hydro power totaled 93.4 percent in 2019, while the rest of the electricity came from thermal power and wind power.Jan 4, 2021

• Norway: electricity production by source 2019 | Statista​

 
Hizo data sio za zama hizi.TUSIDANGANYANE.Norway kamwe hawatumii hydroelectric power.Wana Mafuta na gesi kibao.Wanatumia Nuclear Plant unaoendeshwa na Gesi.Isitoshe ni kisiwa kidogo hata Zanzibar kubwa.Nchi zote alizozitaja huyo Profesa Bashite mpya hazitumii (H.E.P).Zote zinatumia aidha Nuclear Plants,Gesi,Diesel.Huu mradi wetu ni upotevu wa pesa.Isitoshe Dunia inakabiliwa na janga liitwalo Climate Change,ambalo Mfadhili mkubwa Marekani wamejitoa.Hii hali inasababisha uharibifu mkubwa wa mazingira kama vile joto kali sana,Ukame,Nchi nyingi kugeuka Jangwa n.k.Profesa Original Mr Muhongo yupo sahihi kabisa.Nyie ndio wale CAG aliwataja kwenye ripoti yake.
)





Search Results​

Featured snippet from the web​

Image result for source of power in Norway

Almost all electricity produced in Norway comes from hydro power. The share of electricity generated from hydro power totaled 93.4 percent in 2019, while the rest of the electricity came from thermal power and wind power.Jan 4, 2021

• Norway: electricity production by source 2019 | Statista​

 
Hali ya Norway ni tofauti. Nchi yao ina miamba na fjords ambayo kwa asili imekuwa ikitumika kuzalisha nishati hata kabla gesi yao ya North Sea kupatikana. Kwa sababu ya miamba, mabwawa yao hayajai matope hata siku moja, na kwa sababu ya wingi wa fjords maporomoko ya maji ni mengi na hivyo kufanya uzalishaji wa umeme kuwa wa gharama ndogo. Ingekuwa vizuri kama ungetuambia Norway imejenga miradi mingapi ya hydro power toka gesi yao ipatikane. Ninavyojua Norway wako mestari wa mbele kupinga ujenzi wa hydropower projects. Ndio maana walikataa kuufadhili huu mradi pamoja na kuwa walifadhili hatua zote za awali za utafiti. Athari ya mabwawa makubwa inajulikana dunia nzima. Ni nchi chache sana ambazo zinawekeza kwenye miradi ya aina hii.

Amandla...
Pamoja na uliyosema kuwa jweli, kwa nini na bssisi kama kuna mahali pana fursa hiyo tusiitumie! Rufiji ipo, kwa nini tuiache.
 
Naona umenivuta kwa nguvu nije nivuruge hali ya hewa humu ndani. Huyu mleta uzi kasema Norway wanatumia umeme wa maji, hivyo inabidi na sisi tuwaige Norway. Akija mwingine akisema Brazil wanatumia umeme wa gas, na wamepiga hatua kwenye viwanda nao pia tuige? Ama hapa unataka nijadili nini?
Childish response.
 
Kwenye suala la emission ya green house gas, hydro power haiko nyuma. Mimea na mapori yatayofunikwa na bwawa itaoza na kutoa methane ambayo ni mbaya mara 20 kuliko carbon dioxide gases. Kutuambia kuwa hydro power ni environmental friendly ni ujinga uliopitiliza.

Amandla...
Rafiki kwa mazingira ni swala la kulinganisha, na ukilinganisha njia zote za kufua umeme iliyo reafiki kwa mazingira ni ile ya maji. mLakini hii haina maana in zero. Inaathiri mazingira lakini kiwango ni cha chini ukilinganisha na njia zingine.
 
Wewe unaongea mambo ya.ajabu sana.

Hapa Tz tunayo mabwawa mangapi ya umeme wa maji??, tunayo toka lini???, je hadi sasa yameshindwa kuzalisha umeme??, je teknolojia ya leo ya kutengeneza hayo mabwawa ni sawa na teknolojia ya miaka ya nyuma mfano miaka ya 60-70??
Badala ya kuniuliza mimi, ungejiuliza kwa nini pamoja na kuwa na mabwawa hayo makubwa ya kuzalisha umeme, mara kwa mara tumekuwa na upungufu mkubwa wa umeme. Mara ngapi tumeambiwa kuwa kina cha maji Mtera na/au Kihansi kimepungua mno kiasi cha kuathiri uwezo wao wa kuzalisha umeme? Mara ngapi tumeombwa tufanye maombi ili mvua zinyeshe za kutosha ili mabwawa yajae? Una uhakika gani kuwa kila mwaka tutakuwa na mvua za kutosha kulijaza hilo bwawa hasa ukizingatia kuwa kiasi cha maji yanayoingia katika mto Ruaha yamepungua sana toka Feasibility study kuhusu mradi huu ilipofanyika miaka 50 iliyopita? Tumejiuliza impact ya mabaliko ya tabia nchi katika kiwango cha maji yatakayopatikana? Kitu kingine ambacho kinapunguza uzalishaji katika mabwawa yaliyopo ni kiasi kikubwa cha matope kilichomo katika mabwawa hayo hali ambayo itatokea katika bwawa hili jipya. Matope pia yanachangia uharibikaji wa mfumo wa kuzalisha nishati ( soma taarifa ya utafiti kuhusu bwawa la Masinga kwq jirani zetu Kenya).

Teknoloji mpya ni katika uzalishaji wa nishati lakini hamna mabadiliko katika uhitaji wa maji katika uzalishaji huo.

Huu mradi ni bomu na ukweli utajulikana mapema. Na hatutakuwa na wa kumlaumu maana tumeonywa sana lakini tumetia pamba masikioni.

Amandla...
 
Pamoja na uliyosema kuwa jweli, kwa nini na bssisi kama kuna mahali pana fursa hiyo tusiitumie! Rufiji ipo, kwa nini tuiache.
Mazingira yetu ni tofauti na nchi kama Norway. Fursa ipo katika gesi asilia, geothermal, upepo, sola n.k.na sio mto Rufiji. Kitu kingine tunachoweza kufanya ni kupunguza umeme unaopotea wakati wa usambazaji na kuhakikisha vifaa vyetu vinavyotumia umeme vina efficiency ya hali ya juu ya matumizi ya umeme.

Amandla...
 
Muhongo haifai kuzungumzia suala la electrical power.

Hatujasahau aliwaambia watanzania wanafaa kuwekeza kwenye juice tu na siyo gasi ili wazungu wake wapate vitalu vya gas.

Hao hao aliowagawia vitalu ndo anawapigania sasa hv wapate soko la gasi.

Watanzania siyo wapumbuvu na wajinga kiasi hicho. Mradi wa Bwawa la Nyerere uendelee na umaliziwe una tija kubwa kwa Taifa!!

Ingekuwa gasi ina manufaa tungeshaona bei za umeme zikishuka bei! Mbona hamna unafuu wowote?

Hatupendi udalali sisi!!
Yes! Watanzania sisi ni wapumbavu na wajinga.. Miaka nenda miaka rudi mambo ni haya haya, wanatuchezea KENDE tu, tunapiga piga kele mitandaoni kama MAZWAZWA/MAPOPOMA, usishangae hili nalo kupita..

Miaka yoote CAG lazima ripoti ifukunyue takataka chungu mzima, tuna bwabwaja kisha tuliiii..

Kauli hii ya muhongo ni dhahiri anatuona sisi mapopoma, kila alichofanya kwenye kuuza gesi na madudu mengine wakati akiwa ofisini tushasahau.

Tumekuwa kama mke asiye na kwao, mwanaume anafanya kila aina ya vitimbi yeye yupo tu..

Asilimia kubwa ya wanasiasa wengi bongo wanatuona sisi MAPOPOMA
 
Thanks maneja kwa DATA; ukweli alioyasema profesa Muhongo hata kama yana ukweli but kwa gharama ambazo tumeisha ziingia, sioni kama ni busara kuachana na mradi ule wa Rufiji. Asante pia kwa hizi data; binafsi maprofesa wa Tanzania hua nawaamini pale wanapokua darasani kufundisha, huku field wana pwaya sana, sijui tatizo huaga ni nini? Tumeisha tumia zaidi ya Trilion kadhaa halafu eti tusitishe tu kwasababu umeme wa dunia ni wa gas? Point nyingi alizozingumza Muhongo pamoja na CAG ukweli zote Zitto Kabwe alizizungumza bungeni, kwamba utafiti wa mradi ule ulifanywa na mwalimu Nyerere miaka ya 70, kapitieni Hansard za Bunge, wabunge wa ccm walipinga, Muhongo (nadhani alikua bado waziri ) alikaa kimya, hakum support Zitto wakati ule halafu leo tumetumia pesa nyingi hivyo, "wasomi" wa bungeni wanataka tusitishe, BIG NO, twendage hivyo hivyo
Ukicheka na mtoto mwishowe anakushika makalio tu..
 
Rafiki kwa mazingira ni swala la kulinganisha, na ukilinganisha njia zote za kufua umeme iliyo reafiki kwa mazingira ni ile ya maji. mLakini hii haina maana in zero. Inaathiri mazingira lakini kiwango ni cha chini ukilinganisha na njia zingine.
Sina la kukuambia maana hutaki kusikiliza. Athari za mabwawa makubwa kama hili ni makubwa kuliko njia nyingi za uzalishaji nishati. Mbaya zaidi ni kuwa uzalishaji wake sio predictable hasa katika mazingira ya mabadiliko makubwa katika tabia nchi. Yote haya tunayaona Kihansi na Mtera lakini hatutaki kujifunza.
Badala ya kuwekeza katika bwawa moja kubwa kama hili tungewekeza katika ujenzi wa mabwawa ya kiasi ambayo athari yake ni ndogo kuliko ya mabwawa makubwa na yangetupunguzia vulnerability ya kutegemea bwawa moja kwa sehemu kubwa ya mahitaji yetu.

Amandla....
 
COUNTRY PROFILE

Norway​

Norway’s topography lends itself perfectly to hydropower development

A country well known for its high mountain plateaus, abundant natural lakes and steep valleys and fjords, Norway’s topography lends itself perfectly to hydropower development. Hydropower provided the basis for the nation’s industrialisation in the late 19th century, and remains the backbone of its power system.

Hydropower regularly accounts for more than 95 per cent of total Norwegian power production, with the small remainder made up by thermal and, only recently, wind.

The current average age of hydropower and dam infrastructure in the country is around 46 years; this is triggering refurbishments and upgrades through the country, as well as environmental improvements.

As a result of climate change, the country is experiencing an increase in average inflow feeding its river systems, adding a further incentive for extension projects. Some of these projects can involve including new catchment areas or increasing the size of the reservoirs and turbines to accommodate increased inflow.

The introduction of renewable energy certificates in 2003, and the merging in 2012 of the Norwegian and Swedish certificate markets, has resulted in a boom of smaller-scale (in this case 10 MW or less) hydropower projects throughout Norway. Investors were able to quickly identify opportunities after the Norwegian Water Resource and Energy Directorate published country-wide mapping for potential sites in 2004.

Over 350 small- scale hydropower projects have been commissioned since 2003, and the number is expected to grow up until 2020, when the certificate scheme ends.

The Norwegian power system benefits from an integrated, open electricity market (Nord Pool) shared with the neighbouring countries Sweden, Denmark, Finland, Estonia, Lithuania and Latvia.

The Nordic system is also interconnected with a number of other countries via high-voltage direct current (DC) transmission lines. DC connections exist from Sweden to Germany and Poland, as well as a recently completed interconnector to Lithuania. Norway also has a DC line to the Netherlands and Russia, while Finland is connected to Estonia and Russia.

This extent of interconnectors provides ample export opportunities for Norwegian hydropower. Norway and the UK are building the world’s longest submarine high-voltage cable for the export of Norwegian hydropower to the United Kingdom, and there are plans to export Norwegian hydropower to Germany as well.

Read the country profile featured in the 2017 Hydropower Status Report.

Source : Norway
 

The History of Norwegian Hydropower in 5 Minutes​

Article | Last updated: 20/07/2016 | Ministry of Petroleum and Energy

Modern Norway was built and industrialised when we started to utilize rivers and waterfalls to produce electricity.

Hydropower is still the backbone of the Norwegian power system, and will remain so in the foreseeable future.

Abundant access to clean and renewable energy puts Norway in a unique position compared to most other countries in the world.

Pioneers in both the business sector as well as politics saw the potential in using hydroelectric power for industrial purposes.

One pioneer industrialist was Sam Eyde, who secured the rights to build power plants in Telemark County in the late 19th century.

The goal was to convert the enormous forces in the water to cheap electricity for industrial production. This paved the way for the establishment of prominent Norwegian companies such as Norsk Hydro and Elkem.

On the political side, the former Prime Minister Gunnar Knutsen sent a famous letter to the parliament in 1892, laying out the industrial potential of hydroelectric power. By doing so, he initiated an important and long-term political effort to secure a role for the Norwegian state in the ongoing electrification of the country, and ensure that the hydropower resources would benefit the nation as a whole.

The Norwegian Parliament, The Storting, responded quickly by issuing laws for concessions and reversionary rights. The latter was passed into law in 1909, and involves that the ownership of the resources passes back to the state when the period of the concession is ended.

Thus, The Storting ensured that the Norwegian hydropower resources was to remain on Norwegian hands
The state, counties and municipalities today own 90 percent of the production capacity for electricity. The very first hydropower plant owned by a municipality came into production in 1891 in the northern town of Hammerfest.

Hammerfest, located way north of the Arctic Circle, became the first town in Norway with electric street lighting. Oslo followed shortly afterwards, with electric street lighting and electric public rail transportation in the decade following 1890.

In 1900, Hammeren power station in Maridalen outside Oslo was built to produce electricity to the city. This is the oldest operating power plant in Norway today. At the opening of Hammeren, it was declared that Oslo was "secured power forever". Today, the annual production from Hammeren would cover the electricity consumption in Oslo for less than a day and a night.

This serves as a reminder of how the importance and dependency of electricity has increased throughout the 20th century, and still is to this day.

New power plants became architectonical symbols of progress and modernity in Norway. In 1911, the Vemork power plant near Rjukan came into production. At the time, Vemork was the largest hydroelectric power station in the world. The proximity to the hydropower resources was also important for the establishment of energy-intensive industry in places such as Odda and Glomfjord on the western coast of Norway.

While the industrial revolution of other places in the world was powered mainly by coal and oil, Norway could make use of clean and renewable energy in its industrial development.

In many ways, the utilisation of our hydropower resources became the gateway to modern, industrialised Norway. But it also represents continuity into the future. More than 100 years after the first hydroelectric power plant was built in Norway, nearly all our electricity production is based on hydropower.

Along with oil and gas technology, Norwegian hydropower technology is in the forefront globally. Norwegian companies today exports such technology to a number of countries. They also contribute with development of expertise in countries with hydropower resources.

Norway is today Europe's biggest producer of hydropower, and number six in the world. Our hydropower resources have given us industrial development, wealth creation, light and heating for more than a hundred years.

With the right resource management, we are laying the groundwork so that these resources can benefit future generations.

Source : The History of Norwegian Hydropower in 5 Minutes
 
Back
Top Bottom