data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ulitegemea wabunge wazuie? Kinachofuata Ruto atatawala huku akijamba kwa wasiwasi!Halafu kuna watu wanaibeza Tanzania yetu kuwa eti watu hawaandamani.
Sasa hao mabwege wa nchi jirani wameamdamana na finance bill imepita. Daaadaaadeki
Cha kujifunza ni UONEVU kwa sababu wana Nguvu 😳1. Huko Kwa jirani pamoja na finance bill kupingwa Kwa maandamano kila kona Wabunge wameipitisha Kwa kishindo.
2. Muswada (finance bill 2024) unapelekwa kwenye Kamati, kisha uende Kwa Mhe. Dr Rais William S. Ruto (PhD) kuweka saini kwa ajili ya utekelezaji.
3. Tuna ya kujifunza hapa?
Source: https://www.google.com/url?sa=t&sou...DKAB6BAgOEAE&usg=AOvVaw33cPiNBkU7iZQTapQWfZp_
Hivyo hivyo na ICC this time hachomoki !Kwani ulitegemea wabunge wazuie? Kinachofuata Ruto atatawala huku akijamba kwa wasiwasi!
Imeshaisha hiyo. Rais akiweka saini tu. Mchezo umeisha.
Ukiambiwa vita vya majimaji viliwapa hamasa Watanganyika kuutafuta uhuru kwa kasi unaelewa nini?Hayo maandamano yameleta impact gani?
Kwani ulitegemea wabunge wazuie? Kinachofuata Ruto atatawala huku akijamba kwa wasiwasi!
Wakenya hawana dogo
Humjui Zakayo weweHuo mswaada utarudishwa tena bungeni kurekebishwa, rutto hawezi kupitisha ugomvi Kwa wananchi
Rais ana Wabunge wa Chama chake na ndio wameupitisha. Anausubiria afanye maamuzi sahihiKabla haujaenda Bungeni ni LAZIMA Rais wa nchi ameupitia na kuridhia.
Kwa upepo uliopo Kenya Ruto uchaguzi ujao atachaguliwa wa WatanganyikaRais ana Wabunge wa Chama chake na ndio wameupitisha
Siasa za Kenya hawaangalii Sera Bali mtuKwa upepo uliopo Kenya Ruto uchaguzi ujao atachaguliwa wa Watanganyika
Kabisa hawakati tamaa mapemaWakenya hawana dogo
Kapewa mpira na wabunge asaini mwenyewe asilaumu mtuKwani ulitegemea wabunge wazuie? Kinachofuata Ruto atatawala huku akijamba kwa wasiwasi!
Wanapoteza muda tu. Njaa itawarudisha kwenye shughuli za kuwapa chakula. Eric Omondi anafanya promo ili nae apate sega la AsaliKabisa hawakati tamaa mapema
Usichokijua ni kuwa Raila Odinga amekua mwanaharakati toka miaka ya 1980 ila mpaka Leo anapuyanga. Achana na kupambana na wabunya asaliWale wanasema imewasaidia nini yaani tz sjui mko vipi,sasa mabadiliko gani huja na siku moja?
Wanaweka misingi ili watawala wanaokuja wajiangalie,ninyi kaeni hapo mtasubiri sana.