Pamoja na Maandamano Kenya, Muswada wa Fedha wapitishwa na wabunge

Pamoja na Maandamano Kenya, Muswada wa Fedha wapitishwa na wabunge

Wanapoteza muda tu. Njaa itawarudisha kwenye shughuli za kuwapa chakula
c2767fe1bdd44bdda5af903514f18110.jpg

Mtaani kwenyewe kugumu Kuna njaa
 
Wabunge wote waliopitisha hiyo Bill, hawatauona mlango wa Bunge, uchaguzi ujao. Kenya ni wale, nikanyage kwa bahati mbaya, nikukanyage kwa makusudi...
Boss Kura zimepigwa kwa kufuata Chama (kabila) hao Gen Z (Mazombi) wanajifurahisha maana hawapigi Kura. Muswada umekwenda kwenye Kamati na kisha unapelekwa Kwa Ruto (mtoza ushuru Zakayo)
 
Ukabila tu unawala wakenya , finance bill hapo ni kivuli ila hata wale walioshindwa uchaguzi wanapata muda wa kupush maandamano ili kum disturb Ruto
Bahati nzuri Wakenya huwatoi kwenye reli kwa hoja kama hizi. Huku wakina Mbowe wakiandamana wataitwa Wachaga, wanatumiwa na mabeberu, wadini na mengine mengi lengo kuwatoa kwenye mada husika. Ila sio Wakenya.
 
Bahati nzuri Wakenya huwatoi kwenye reli kwa hoja kama hizi. Huku wakina Mbowe wakiandamana wataitwa Wachaga, wanatumiwa na mabeberu, wadini na mengine mengi lengo kuwatoa kwenye mada husika. Ila sio Wakenya.
Nikumbushe kama Maandamano Kenya yalishawaidiaga? Maandamano wanaweza waarabu (2011 Arab springs).
 
Typical Mtanzania With A Low Level Of Reasoning As Usual.

Hata nikikuambia CCM ipo madaraka sababu watu kama nyie mko wengi kupita namba ya wanaojielewa bado utabisha.
Wewe pimbi CCM ndiyo inakufanya uwe hai na kuweza kuandika pumba JF. Na utakufa utaiacha kama walivyoiacha akina Mtikila, Seif Shariff Hamad na Mapalala
 
Wewe pimbi CCM ndiyo inakufanya uwe hai na kuweza kuandika pumba JF. Na utakufa utaiacha kama walivyoiacha akina Mtikila, Seif Shariff Hamad na Mapalala
Duh kumbe ccm amechukua nafasi ya Mungu ..kumbe uhai wa watanzania umeshikiliwa na ccm.
 
Kenya wanajielewa ndiyo sababu uchumi wao uko juu karibia mara mbili ya uchumi wetu japo tunawazidi kila kitu! Ila wanatuzidi uelewa na hekima.
 
Halafu kuna watu wanaibeza Tanzania yetu kuwa eti watu hawaandamani.

Sasa hao mabwege wa nchi jirani wameamdamana na finance bill imepita. Daaadaaadeki
Kwa watu wenye uelewa mfupi hawawezi kuona impact ya hayo maandamano hata kama hiyo itakuwa sheria. Hii inatoa inafanya wanasiasa wasizoee kutuka sheria za kukandamiza wananchi. Wakikaa kimya kama watanzania wanafanya viongozi wawaonee na kuja na sheria za kijinga kama wanavyofanya CCM.
 
Nilisema hili ,desturi ya kenya kama ufaransa ni maandamano na maandamano yote karne ya 21 duniani kote hayanaga muafaka...wanadamu wa karne hii tunabweka sana lkni hatunga'ti
Ulishajiliuza ni kwa nini mtoto wako akifanya kosa unakaa naye na kumkaripia na hata kumchapa? Nadhani unajua kuwa unafanya hivyo kumfundisha. Na viongozi hivyo hivyo. Wananchi wanapokuwa hawa-express feeling zao, viongozi hulewa madaraka na kufanya watakacho bila kufikiria kabla ilivyo kwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom