Pamoja na Maandamano Kenya, Muswada wa Fedha wapitishwa na wabunge

Umeandika kama mwana Lumumba
 
Ukiambiwa vita vya majimaji viliwapa hamasa Watanganyika kuutafuta uhuru kwa kasi unaelewa nini?

Hicho walichofanya Wakenya siku sio nyingi utaona kimeleta gani?

Kuna maswali mengine yanajibiwa na MUDA.
Vita ya Majimaji (1905-1907) Uhuru Tanganyika 1961? Hata kama Ngumbaru mwenzetu ficha ujinga wako
 
Chebukat anakula posho Dubai toka Kwa Zakayo

..uchaguzi wa Kenya hautabiriki.

..hata kama kuna wizi bado huwezi kuwa na uhakika chama au mgombea yupi ataibiwa.

..hapa Tz no guarantee kuwa Ccm wataiba na hata kupora.

..Ccm wanaiba kijinga sana. Wakenya hawawezi kuruhusu wizi wa kijinga wa kura kama huku Tanzania.
 
Kwa jicho jingine ukicheki hii bill yao iko poa ina favour kwao apart from maswala ya tax za lithium products. this thing looks political kana kwamba kuna watu wanatumia vijana kum discredit Ruto kwa sababu zao wenyewe.
 
Wizi ni ule ule
 
Ni Finance Bill gani iliyopitishwa!!?
Mbona kesho ndiyo inasomwa kwa mara ya pili!!??
 
Tofauti ipo wapi?

..Kenya wameshabadili chama tawala zaidi ya mara moja, hata kama kuna madai wizi hutokea.

..Tanzania hatujawahi kubadili chama tawala tangu tupate uhuru.

..Sisi tumepata uhuru kabla ya Kenya. Tuna nchi kubwa, watu wengi, rasilimali nyingi kuzidi Kenya, lakini wenzetu wametuzidi kimaendeleo. WHY?

..Tuna tatizo la kiutawala Tanzania ambalo limedumaza nchi kimaendeleo.
 
Mkuu nadhani Ni vizuri kujielimisha kidogo kuhusu siasa za Kenya...kubadili Vyama just nominal) si hoja maana watu ni wale wale kutoka familia zile zile nne (Kenyatta (Kibali), Moi(Ruto). Je hili ni taifa au familia
 
Boss Kura zimepigwa kwa kufuata Chama (kabila) hao Gen Z (Mazombi) wanajifurahisha maana hawapigi Kura. Muswada umekwenda kwenye Kamati na kisha unapelekwa Kwa Ruto (mtoza ushuru Zakayo)
unadumaa akili, kama wangekuwa wanapiga za hiyo finance bill wangeandamana ya nini? si wangepiga kura ya NO
 
Sema wamebadili majina ya Vyama kuwaahadaa Mazombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…