Pamoja na Maandamano Kenya, Muswada wa Fedha wapitishwa na wabunge

Halafu kuna watu wanaibeza Tanzania yetu kuwa eti watu hawaandamani.

Sasa hao mabwege wa nchi jirani wameamdamana na finance bill imepita. Daaadaaadeki
Hata ikipitishwa ujue ni kwa ajili ya maandamano kuna marekebisho kadhaa ishaafanywa. Tena Ina maana serikali itakuwa na uangalifu fulani baadae kabla kufanya jambo linalowahusu raia!
 
Tangu lini hao wakawa ndugu zako?

..nchi zote majirani ni ndugu zetu Watanzania.

..nchi zote majirani tuna muingiliano nao kimakabila, kilugha, na kiutamaduni.

..Kenya ndiyo nchi jirani yenye muingiliano mkubwa zaidi wa kiuchumi na Tanzania.
 
Sasa kwa nini usiwaige wacongo au waganda, kama unapenda kuiga iga hao unaowaita ndugu zako?

..tunaiga mazuri ya Kenya, mabaya tunayaacha.

..Wakenya wana uchumi mkubwa kuliko nchi zote Afrika Mashariki, tunapaswa kuiga mambo mazuri wanayoyafanya ktk kuendesha uchumi.

..Waganda wako vizuri ktk kilimo. Kwa mfano wamepiga hatua kubwa ktk kilimo cha chikichi. Yaani wamejifunza kwetu sasa wametupita. Na sisi tunapaswa kujifunza na kuiga toka kwao.
 
..nchi zote majirani ni ndugu zetu Watanzania.

..nchi zote majirani tuna muingiliano nao kimakabila, kilugha, na kiutamaduni.

..Kenya ndiyo nchi jirani yenye muingiliano mkubwa zaidi wa kiuchumi na Tanzania.
Unatamani huu uharibifu na mauaji yanayotokea Kenya sasa hivi?
 
..Tanzania hata hilo imeshindikana.

..Watanzania tuna mengi ya kujifunza toka kwa ndugu zetu wa Kenya na haswa ktk kuwawajibisha wanasiasa na serikali.
Muswada umepitaaa. Tanzania tujifunze nn Kwa Kenya Sasa?
 
Halafu kuna watu wanaibeza Tanzania yetu kuwa eti watu hawaandamani.

Sasa hao mabwege wa nchi jirani wameamdamana na finance bill imepita. Daaadaaadeki
Umewaita mabwege? Hao wabunge wataumizwa. Huu muswada utaathiri huo mhimili wote wa bunge.
Ogopa maandamano ambayo hayana Chama.
 
See at least our fellow East Africans have shown their reactions on the gvt stupidity unlike we who are just numb and embeciles
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…