Ushindi wa Ndungulire Kwa asilimia kubwa umechagizwa na Rais Samia.
Rais alituma ujumbe kupitia waziri wa Afya Ummy mwalimu kuzunguka baadhi ya nchi za Africa ili ziiunge mkono Tanzania katika kinyang'anyiro hiki. Hatimaye Kashinda mbele ya Senegal, Nigeria na ndugu zake Niger.
Ushindi wa Spika Tulia kuwa Rais wa Umoja wa mabunge Duniani, Ulichagizwa Kwa kiasi kikubwa na mama pia.
Kuna Baadhi ya mambo sikubaliani nae ila Kidiplomasia ya Kimataifa, Rais Samia anaturudisha kwenye Ramani ya Kimataifa ambayo Jiwe alitutoa.
Nakuomba mama Imarisha usalama wa Raia na mali zake hapa nchini Sasa maana Hali ni Mbaya.
Hongera Kwa kutupeleka Kimataifa.