Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Naomba mniruhusu tu niandike haya machache! Leo muda wa asubuhi nilimuagiza mtu wa 'bodaboda' aniletee vitu nilivyomuagiza. Walikuwa na mwenzake.
Baada ya salamu yule mwenzake akasema "hali ni ngumu sana" nikachomekea "nyie si mnasema mama anaupiga mwingi na kwamba mtangulizi wake alikuwa mbaya!" Ndipo mmoja wao akaanza kusifia hotuba za hayati na namna zilivyomgusa. Na akasema zilisikika karibu kila mahali. Na zilibeba hisia za wengi.
Ni kweli tumesikia mabaya yake mengi lakini ukweli ni kwamba hayajaweza kufuta mema yake.