Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kumsifu is no more hata hawasikii maana mmezidi unatiqIli kuepuka hasira na makasiriko kuhusu huyu mwamba, jitahidi tu umpende. Utapata taabu sana ndg yangu. Magu was a really presidential material. He deserve to be proud of
Kwa isivyo bahati, waliokuwa wanamzungumzia ni wanaume tena rijali kabisaaa! Sasa sijui wao walitumia akili za wapi!Unafata upepo na biti huna hoja huyo Muuaji Jambazi katili that way nasema wanawake upstairs mpo 0% IQ
Watz % kubwa ni wajinga so usishangae kuhusu Hilo huyo muuaji anapata Kiki na snareKwa isivyo bahati, waliokuwa wanamzungumzia ni wanaume tena rijali kabisaaa! Sasa sijui wao walitumia akili za wapi!
Na waliongea kwa hisia kali
Kwahiyo sio watanzania? Au sio binadamu? Kumbuka wanaitwa maafisa usafarishaji.Sisemi kwa ubaya ila kuongozwa tafakuri na mawazo ya maboda boda ni ishara ingine tunapungukiwa
Hawa wanaofanya vituko juu ya vituko kila siku?
Mtakuja na sifa zote mkidhani tumesahau tabia za dhalimu. Kipindi chake msemo wa vyuma kukaza ndio ilikuwa habari ya mjini. Ni hivi, tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.Ili kuepuka hasira na makasiriko kuhusu huyu mwamba, jitahidi tu umpende. Utapata taabu sana ndg yangu. Magu was a really presidential material. He deserve to be proud of
Kwahiyo unathibitisha kabisa kuwa Hao maboda ni marijali na tena unaisema kwa mbwembwe kabisaKwa isivyo bahati, waliokuwa wanamzungumzia ni wanaume tena rijali kabisaaa! Sasa sijui wao walitumia akili za wapi!
Na waliongea kwa hisia kali