...chàngamoto ni uchache wa magari yao hawana gari za kutosha kuhudumia makasha yote yatokayo Tanzania.Sasa kama wanajenga dry port hapo Kiyanzi Wasafirishaji watu watakuwa wanaishia hapo labda kwa wale wa mizigo ya Bukavu na Goma
Hapo ndipo Maajenti wetu watashusha bei sana kwani hapo Kiyanzi ni sawa na Boda tu
Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa.
Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile wanachokitaka,hawataki escort wakiwa huko Rwanda.
Kwa ujumla hali hasa kwa upande wa Rwanda inaelezwa kuwa ni mbaya kwa baadhi ya mahitaji km chakula vimeanza kuadimika katika maeneo mbalimbali.
Ni matumaini yetu pande zote mbili zitaelewana na kufikia muafaka kwa maslahi ya pande zote mbili.
Utakuwa na mtindio wa ubongo weweTz imeamua kusambaza corona kwa lazima kwa majirani zao
Wape ndukum basiMabeberu ndio wanaosaidia baneti ya serikali kwa zaidi ya 45%.
Mabeberu kupitia global fund ndio wanafadhili ARV unazotumia, dawa mseto za malaria, ukoma, kipindipindu.
Global Fund to grant Tanzania 600 mln USD for fighting malaria, TB and AIDS - Xinhua | English.news.cn
Mabeberu wanajenga barabara. Mabeberu ndio wanajenga Dar metropolitan city bapo wanatandaza lami mitaa yote ya Dar.
Dar es Salaam Metropolitan Development Project
Mabeberu ndio wanafadhili mafunzo ya wataalam muhimbili.
Serikali yao ilijaribu kipindi cha Kikwete kuwalazimisha watumie bandari ya Mbs na ilichemka!Serikali ya Rwanda ikiamua watakuwa hawana gisi
Eti eeh
Ila Madereva wetu nao wanatakiwa wafikirie mbali maana Rwanda wakimaliza kujenda Dry port yao Kenya wanaweza kulazimisha mizigo yote kupitia bandari ya MSA
Halafu mizigo ikipungua Transpoters wanaanza kuwapunguza kazini
Mimi nilikuwa dereva na nimefanya kazi Kenya kuna magari ni hatari na hivi wanaona Kagame anafungua dry port watu wanaenda benki halafu wanashusha mamia ya magari ya mizigo...chàngamoto ni uchache wa magari yao hawana gari za kutosha kuhudumia makasha yote yatokayo Tanzania.
Nikikupa bistoria ya Rwanda kabla ya vita na baada Rwanda ilikuwa ikitumia bandari ya Mombasa kwa miongo mingiSerikali yao ilijaribu kipindi cha Kikwete kuwalazimisha watumie bandari ya Mbs na ilichemka!
Kama kawaida yenu chadema alyways mnasimama na mataifa ya nje kutetea maslahi yaoSerikali ya Rwanda ikiamua watakuwa hawana gisi
Mabeberu ndio wanaosaidia baneti ya serikali kwa zaidi ya 45%.
Mabeberu kupitia global fund ndio wanafadhili ARV unazotumia, dawa mseto za malaria, ukoma, kipindipindu.
Global Fund to grant Tanzania 600 mln USD for fighting malaria, TB and AIDS - Xinhua | English.news.cn
Mabeberu wanajenga barabara. Mabeberu ndio wanajenga Dar metropolitan city bapo wanatandaza lami mitaa yote ya Dar.
Dar es Salaam Metropolitan Development Project
Mabeberu ndio wanafadhili mafunzo ya wataalam muhimbili.
Nakuona mrwanda umekomaakama wana hiyo jeuri watoke hapo mpakani warudi Tz na mizigo yao.
Ambacho hukijui,wafanyabiashara wengi wa maroli wa Rwanda wanachangia na wa Tanzania na magari mengi ya kinyarwanda yana usajili wa Tanzania.Na ndivyo pia kwa gari za kitanzania.Mimi nilikuwa dereva na nimefanya kazi Kenya kuna magari ni hatari na hivi wanaona Kagame anafungua dry port watu wanaenda benki halafu wanashusha mamia ya magari ya mizigo
Azam anaviwanda huko nduguHiyo mizigo ni kutoka nje tu kunavitu lazima watahitaji kutoka hapa
Ninyi mteteeni Selemani Nchambi mwenye maslahi ya kumaliza wanyamapori wetuCCM tu sisi ndio watetezi pekee Wa maslahi ya watanzania
Watoto mliozaliwa nje ya ndoa baada ya mama zenu kuuza uchi kutokana na shida mnajulikana.