Pamoja na makubaliano ya awali, ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda

Pamoja na makubaliano ya awali, ngoma bado nzito! Madereva wa Tanzania wamegoma kupeleka mizigo Rwanda

Mi nadhani ingekuwa ni vizuri mizigo yote ishushwe border , halafu kila mmoja atafute logistic za kumalizia safari akitumia watu wake Kwanza ingekuwa rahis kwa maderva wa Tanzania. Maana hakuna cha kubeba kutoka Rwanda huwa wanapeleka mizigo tu.

Halafu ni bonge la fursa ka wamiliki wa malori Tanzania mana gari za Rwanda tayari zimejaa Sana nchini na zinafanya kazi ambazo gari za Tanzania zingefanya.

Hatujajua kugeuza changamoto kuwa fursa, huu mgogoro ndio ulikuwa wakuutumia kujinufaisha ,

Sent
 
Sasa kama wanajenga dry port hapo Kiyanzi Wasafirishaji watu watakuwa wanaishia hapo labda kwa wale wa mizigo ya Bukavu na Goma

Hapo ndipo Maajenti wetu watashusha bei sana kwani hapo Kiyanzi ni sawa na Boda tu
...chàngamoto ni uchache wa magari yao hawana gari za kutosha kuhudumia makasha yote yatokayo Tanzania.
 
Hali ya ubabe inaendelea mpaka wa Rwanda na Tanzania huku madereva wa Tanzania wakigomea kuingia Rwanda kwa sababu ya kunyanyapaliwa.

Pamoja na jitihada za kuwabembeleza zinazofanywa na maafisa wa Rwanda kwa kuwaahidi hali itakuwa tofauti na awali lakini bado madereva wamesimamia kile wanachokitaka,hawataki escort wakiwa huko Rwanda.

Kwa ujumla hali hasa kwa upande wa Rwanda inaelezwa kuwa ni mbaya kwa baadhi ya mahitaji km chakula vimeanza kuadimika katika maeneo mbalimbali.

Ni matumaini yetu pande zote mbili zitaelewana na kufikia muafaka kwa maslahi ya pande zote mbili.

Jambo muhimu la kuona. Kwa nini mada kama hizi zinawaleta watanzania wote pamoja?

Kuna mambo ya msingi mtanzania anahitaji kuyaona siyo hii janja janja isiyo na Kichwa wala miguu.

Kudos madereva wetu.
 
Mabeberu ndio wanaosaidia baneti ya serikali kwa zaidi ya 45%.

Mabeberu kupitia global fund ndio wanafadhili ARV unazotumia, dawa mseto za malaria, ukoma, kipindipindu.
Global Fund to grant Tanzania 600 mln USD for fighting malaria, TB and AIDS - Xinhua | English.news.cn

Mabeberu wanajenga barabara. Mabeberu ndio wanajenga Dar metropolitan city bapo wanatandaza lami mitaa yote ya Dar.
Dar es Salaam Metropolitan Development Project

Mabeberu ndio wanafadhili mafunzo ya wataalam muhimbili.
Wape ndukum basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mizigo ni kutoka nje tu kunavitu lazima watahitaji kutoka hapa
Ila Madereva wetu nao wanatakiwa wafikirie mbali maana Rwanda wakimaliza kujenda Dry port yao Kenya wanaweza kulazimisha mizigo yote kupitia bandari ya MSA

Halafu mizigo ikipungua Transpoters wanaanza kuwapunguza kazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...chàngamoto ni uchache wa magari yao hawana gari za kutosha kuhudumia makasha yote yatokayo Tanzania.
Mimi nilikuwa dereva na nimefanya kazi Kenya kuna magari ni hatari na hivi wanaona Kagame anafungua dry port watu wanaenda benki halafu wanashusha mamia ya magari ya mizigo
 
Na uhakika vijana wa usalama wa Tz wamejichomeka humo kwa madereva na ndio wanaohamasisha mgomo.
Hii ngoma inachezwa kwa akili sana na Tz,!

Hawa majirani zetu nibzero brain.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali yao ilijaribu kipindi cha Kikwete kuwalazimisha watumie bandari ya Mbs na ilichemka!
Nikikupa bistoria ya Rwanda kabla ya vita na baada Rwanda ilikuwa ikitumia bandari ya Mombasa kwa miongo mingi

NRA ya Museveni ilipoanza vita uganda mizigo ya Rwanda ikaanza kupitia boda ya Sirari ndio Wanyarwanda wakaanza kubadilisha njia polepole kuja Dar port

Na kama sasa wanataka kurudi Mombasa hakuna wa kuwazuia
 
Serikali ya Rwanda ikiamua watakuwa hawana gisi
Kama kawaida yenu chadema alyways mnasimama na mataifa ya nje kutetea maslahi yao

CCM tu sisi ndio watetezi pekee Wa maslahi ya watanzania

Madereva komaeni hivyo hivyo .Madreva Wa Rwanda wakija kwetu ha tu Wa escort wala kuwapangia walale wapi sijui kwa gharama za importer !! wako free

Mimi kama mwana CCM Niko nanyi kwenye madai yenu watanzania wenzangu tuko pamoja. Chadema wako pamoja na kagame kama muna kadi za chadema chaneni chomeni moto
 
Wewe ukiitwa mjinga utakataa ?

Kuna kitu Mabeberu yanatoa bure?
Mabeberu ndio wanaosaidia baneti ya serikali kwa zaidi ya 45%.

Mabeberu kupitia global fund ndio wanafadhili ARV unazotumia, dawa mseto za malaria, ukoma, kipindipindu.
Global Fund to grant Tanzania 600 mln USD for fighting malaria, TB and AIDS - Xinhua | English.news.cn

Mabeberu wanajenga barabara. Mabeberu ndio wanajenga Dar metropolitan city bapo wanatandaza lami mitaa yote ya Dar.
Dar es Salaam Metropolitan Development Project

Mabeberu ndio wanafadhili mafunzo ya wataalam muhimbili.
 
Mimi nilikuwa dereva na nimefanya kazi Kenya kuna magari ni hatari na hivi wanaona Kagame anafungua dry port watu wanaenda benki halafu wanashusha mamia ya magari ya mizigo
Ambacho hukijui,wafanyabiashara wengi wa maroli wa Rwanda wanachangia na wa Tanzania na magari mengi ya kinyarwanda yana usajili wa Tanzania.Na ndivyo pia kwa gari za kitanzania.
 
Back
Top Bottom