Pamoja na mapungufu mengi aliyonayo lissu sio mfisadi,je mzee wetu alivuta shiling ngapi mbona lissu anahasira mno?

Pamoja na mapungufu mengi aliyonayo lissu sio mfisadi,je mzee wetu alivuta shiling ngapi mbona lissu anahasira mno?

Khanji kapoor

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2024
Posts
1,198
Reaction score
2,695
Niliwahi kusikia miaka ya zamani lissu akimtweza baba wa taifa mwalimu nyerere

Nikamueleza rafiki yangu kuwa huyu mtu hatafanikiwa kisiasa Tanzania,he will end up like siasa za mtikila

Mtikila mwishoni aligeuka laughing stock sio

Lkn nampongeza lissu kitu kimoja sio mfisadi hata kidogo

Kwa muda Sasa amekuwa akilaumu viongozi was chadema kuwa wamekula dola za kutosha

Je unadhani mzee chairman atakuwa amekunja ngapi
 
aliesema amekula ndio aseme amekula shingapi
 
Chairman nasikia alihadiwa kulambishwa 5,000,500(milioni 5 na mia 5 ila wanamlipa mdogomdogo kila wiki wanampa 5500 mpaka itakapotimio hiyo
 
Back
Top Bottom