Pamoja na mtambo no 9 kuwashwa, na kuwekwa, megawati 235, tatizo la umeme lazidi kuongezeka Tunduru

DAMA2025

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2023
Posts
624
Reaction score
913
Hali ya umeme, kukatika kila saa imeendelea kuwa tatizo gumu na mfupa mgumu katika wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma licha ya, Serikali juzi kutangaza kuwasha mtambo no 9 na kuweka megawatt 235 katika gridi ya Taifa.

Baadhi ya, wakaazi wa Tunduru wameonyesha wasiwasi wao mkubwa kwa shirika la umeme wilaya Tunduru, kuwa uenda wanafanya hujuma kubwa kwa serikali ya Dkt. Samia.

Jana usiku tumelala bila umeme, kutoka saa, nne usiku mpaka asub, na sababu zao wanazotoa ni kwamba nguzo zimeanguka.

Hii siyo sawa kabisa. Alisema mkazi huyo. Wakaazi hao wamemwomba naibu wazir mkuu na wazir wa, nishati kuchukua hatua kali kwa hawa wafanyakaz wazembe, wanaoiangusha serikali ya Dkt. Samia.

Uchunguzi uliofanywa na mwandishi wa habari hii umedhibitisha kuwa, mikoa yote ya Tanzania na wilaya zake kwa sasa tatizo la umeme limekwisha.
 
Tulishakubaliana tena kwa mifano hai....wanasiasa wa Bongo ni waongo wasiokuwa na mfano Duniani.
Narudia tena tusilisahau hilo.
 
Huko ni bushi hata mkilala Giza mwezi hakuna shida πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi naamini huenda hata Bwawa Zuma likiwashwa Mgao utaendelea tu kwa kisingizio kuwa CHADEMA ndio wanaiba Mafuta ya Transfoma.

Ngoja tuone.
 
Huko ni bushi hata mkilala Giza mwezi hakuna shida πŸ˜‚πŸ˜‚Ni

Huko ni bushi hata mkilala Giza mwezi hakuna shida πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni bush sawa, lakin tuna net wealth ya kutosha kuhitaji umeme. Ww unaishi mjini lakin huna kitu. Unashinda tu mitandaoni.Na hata hoja yako ni dhaifu, inaonekana huna hata elimu ya kukusaidia. Hasa hasa unaweza uchawa tu.
 
Ni bush sawa, lakin tuna net wealth ya kutosha kuhitaji umeme. Ww unaishi mjini lakin huna kitu. Unashinda tu mitandaoni.Na hata hoja yako ni dhaifu, inaonekana huna hata elimu ya kukusaidia. Hasa hasa unaweza uchawa tu.
Pesa Inatoka mjini sio huko bushi
 
Pesa Inatoka mjini sio huko bushi
Inaonekana huna elimu kabisa!! Yaan haujui kitu kabisaπŸ˜›ole kwa, mzazi wako aliyeshindwa, kukupa elimu. Umebaki kuwa chawa tu. At least hata ungekuwa na elimu kidogo ya kuchangia mada, ungepewa uteuz. Lakin you know nothing. Labda nikufamishe kwa uchache,huku tuna migodi, na hata mataifa mengine wapo huku.
 
Migodi inazalisha umeme wao haisubirii wa TANESCO,migodi ya kuchimba panya au?
 
muwe wastahimilivu na wenye Subra kidogo tu,
soon litaisha kama lilivyo isha maeneo mengine πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…