Pamoja na mtambo no 9 kuwashwa, na kuwekwa, megawati 235, tatizo la umeme lazidi kuongezeka Tunduru

Pamoja na mtambo no 9 kuwashwa, na kuwekwa, megawati 235, tatizo la umeme lazidi kuongezeka Tunduru

Ukitoa comment kwenye social media, ujue unatoa comment kwenye public ndugu yangu. Kwa hiyo jaribu kufikiria na kuwa makin kabla haujaandika. Unless otherwise uwe unaandika tu kama mtu usiyejitambua. Na hii nitamkumbuka Lowasa alisema elimu,!! Elimu!! My concern kubwa kuandika thread hii, ni kuhoji kwann juz wazir wa nishati alisema kuwa mtambo no. 9 umewashwa na ku supply megawatts 235 kwenye grid ya Taifa na kwamba sasa umeme uta kuwa history. Lakin baada ya siku mbili hatuoni umeme. Je, wazir katudanganya??Sasa, ww chawa unapokuja na hoja kuwa umeme unahitaji tu sehemu za viwanda huoni unaongea pumba?? Na hajitambui. Yaan kwa kutumia JF tu, na kusoma comments za watu, utaona kama Taifa tumeshaanguka. Vijana wengi hawana IQ za kusaidia taifa.
Kweli kabisa, hapa hazihitajiki blah blah ambazo wengi wanazo.
Maelezo yanahitajika mafupi na ya kujitosheleza;
Mahitaji ya jumla ya umeme nchini ni megawatts....... .....
Sasa hivi uzalishaji ni megawatts.......
Tunayo ziada au upungufu wa megawatts..............
Nyingine zote ni porojo za kijuha.
 
Back
Top Bottom