Pamoja na mtambo no 9 kuwashwa, na kuwekwa, megawati 235, tatizo la umeme lazidi kuongezeka Tunduru

Na ndiyo wapiga kura wa CCM
Nilikuwa namshushua tuu.Serikali ilisema kuwashwa mtambo ule itapunguza shida ya umeme Kwa 85% lakini sio uniformly.

Pili huko Tunduru Kuna njia ya kusafirisha umeme inajengwa kutoka Songea Hadi Masasi na ndio itapeleka umeme wa uhakika ikikamilika Sasa huyo jamaa hajui hayo?
 
Sio huko tu
 
Tunduru kaeni kwa kutulia, Umeme unahitajika sehemu zenye viwanda na walipa kodi wakubwa.
Hiyo tunduru nzima kwa ujumla wake mkikusanya kodi ni sawa na kodi ya kiwanda kimoja cha AZAM tena cha kutengeneza maandazi na chapati.
 
Hv ktk mgao huu uliokuwapo hasara kiasi Gani ilipatikana?Hasara ikijulikana itajenga uwajibikaji mzuri na kufanya wahusika wawe macho mapema kukwepa hasara.
 
Tunduru kaeni kwa kutulia, Umeme unahitajika sehemu zenye viwanda na walipa kodi wakubwa.
Hiyo tunduru nzima kwa ujumla wake mkikusanya kodi ni sawa na kodi ya kiwanda kimoja cha AZAM tena cha kutengeneza maandazi na chapati.
Ukitoa comment kwenye social media, ujue unatoa comment kwenye public ndugu yangu. Kwa hiyo jaribu kufikiria na kuwa makin kabla haujaandika. Unless otherwise uwe unaandika tu kama mtu usiyejitambua. Na hii nitamkumbuka Lowasa alisema elimu,!! Elimu!! My concern kubwa kuandika thread hii, ni kuhoji kwann juz wazir wa nishati alisema kuwa mtambo no. 9 umewashwa na ku supply megawatts 235 kwenye grid ya Taifa na kwamba sasa umeme uta kuwa history. Lakin baada ya siku mbili hatuoni umeme. Je, wazir katudanganya??Sasa, ww chawa unapokuja na hoja kuwa umeme unahitaji tu sehemu za viwanda huoni unaongea pumba?? Na hajitambui. Yaan kwa kutumia JF tu, na kusoma comments za watu, utaona kama Taifa tumeshaanguka. Vijana wengi hawana IQ za kusaidia taifa.
 
Hizi mg 235 ni kwa ajili ya watanzania, nyie wa mipakani subirini kwanza utoshe huku TZ.
 
Hatari sn
 
Tatizo la umeme ni zaidi ya unavyoambiwa
 
Hii nchi kila kitu ni siasa, kama wanasiasa walisema upungufu wa umeme utaisha mara baada ya kuwasha kinu namba 9, na kimeshawashwa na bado mgao upo, lazima tuanze kuamini kuwa yamkini tumepigwa. Kauli ya awali ilikuwa ya kisiasa na matokeo yake yatakuwa ya KISIASA. MUNGU Isaidie nchi yangu Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…