Ukitoa comment kwenye social media, ujue unatoa comment kwenye public ndugu yangu. Kwa hiyo jaribu kufikiria na kuwa makin kabla haujaandika. Unless otherwise uwe unaandika tu kama mtu usiyejitambua. Na hii nitamkumbuka Lowasa alisema elimu,!! Elimu!! My concern kubwa kuandika thread hii, ni kuhoji kwann juz wazir wa nishati alisema kuwa mtambo no. 9 umewashwa na ku supply megawatts 235 kwenye grid ya Taifa na kwamba sasa umeme uta kuwa history. Lakin baada ya siku mbili hatuoni umeme. Je, wazir katudanganya??Sasa, ww chawa unapokuja na hoja kuwa umeme unahitaji tu sehemu za viwanda huoni unaongea pumba?? Na hajitambui. Yaan kwa kutumia JF tu, na kusoma comments za watu, utaona kama Taifa tumeshaanguka. Vijana wengi hawana IQ za kusaidia taifa.