Pamoja na mvua kukata siku chache, Goba maji yanatoka kwa mgao, mnakaa wiki maji hamna

Pamoja na mvua kukata siku chache, Goba maji yanatoka kwa mgao, mnakaa wiki maji hamna

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Sasa ukitaka kufatilia kweli shida iko wapi? Kwanini hakuna anaewajibika? Mvua zimenyesha mpaka mafuriko lakini lao wiki ya pili maji yametoka mara moja tu.

Mtetezi ni nani? Kwakweli hii sio fair kabisa
 
Ni vile tunaogopa changes watanzania Ila ccm ilitakiwa ipumzike
 
CCM imechoka, tatizo bado tunawachekea hawa wahuni!
 
Back
Top Bottom