Pamoja na mziki wao kuwa tofauti je kati ya Michael Jackson na Bob Marley nani alikubalika zaidi ulimwenguni

Acha ujinga...

Umeanzisha uzi...ungetuacha tutoe maoni...

Sasa kuna maana gani kuanzisha uzi ilhali ushachagua upande.

NASISITIZA...

MWACHENI BOB AITWE BOB.....
Nothing compares to him.
Well said mkuu data
 
Hahahaha
 
Acheni kumvunjia Bob heshima kumlinganisha na choko huyu....

Bob ni kati philosophers waliowahi ishi duniani...

Messages ktk nyimbo zake ni lectures...

Acheni masihara kabisa...
MJ Ni Philanthropist, Humanist, Entertainer,
Ujumbe Wake Kwenye Nyimbo Ni Mkubwa
 
The Wacko ni mfalme hana mpinzani. Bob anajua japo si sawa kumlinganisha na MJ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…