Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape mbele ya madaraka yupo tayari kuua wazazi na watoto wake wote iliapate tu maslahi yakeWanasiasa wa Tanzania wana roho ngumu sana. Wapo tayari kulinda madaraka lakini siyo kulinda ndugu zao.
Mimi sikujua kama Nape ni mjomba wa Tundu Lisu; kama Nape na Lisu ni ndugu basi siasa imefika pabaya. Kwamba mjomba wako anapigwa risasi unashangilia? Kwamba Mama Samia aliweza kuwa na utu kuliko hata wajomba wa Lisu?
Tunao wanasiasa wanaishi kiadui sana kwa sababu tu ya tofauti ya vyama au kukosa uhuru wa kujiamulia mambo
Siyo unafiki uroho wa madarakaSio kulaan tu hata kendal kumfaliji tu alipokua hospital na hata alipotoka, nadhani unafki ndo unamsumbua.
Mjomba Ni Mama
Tumbo kama fulushi la viazi vya gairoNape anakula sana jamani, mwonyeni, atapasuka tumbo
Sawa Mkenya, tumekusikia!Hakuna upinzani Tanzania