Pamoja na NAPE kukiri kuwa Lissu ni mjomba wake; hakuwahi kulaani mjomba kupigwa risasi (tukumbuke mjomba ni mama)

Pamoja na NAPE kukiri kuwa Lissu ni mjomba wake; hakuwahi kulaani mjomba kupigwa risasi (tukumbuke mjomba ni mama)

Sio kulaan tu hata kendal kumfaliji tu alipokua hospital na hata alipotoka, nadhani unafki ndo unamsumbua.
 
Wanasiasa wa Tanzania wana roho ngumu sana. Wapo tayari kulinda madaraka lakini siyo kulinda ndugu zao.

Mimi sikujua kama Nape ni mjomba wa Tundu Lisu; kama Nape na Lisu ni ndugu basi siasa imefika pabaya. Kwamba mjomba wako anapigwa risasi unashangilia? Kwamba Mama Samia aliweza kuwa na utu kuliko hata wajomba wa Lisu?

Tunao wanasiasa wanaishi kiadui sana kwa sababu tu ya tofauti ya vyama au kukosa uhuru wa kujiamulia mambo
Nape mbele ya madaraka yupo tayari kuua wazazi na watoto wake wote iliapate tu maslahi yake
 
Back
Top Bottom