Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 953
- 1,304
- Thread starter
-
- #21
Hili lilikua tatizo kubwa sana Eddo Kumwembe alilisema mwanzoni kabisa mwa msimu akasema simba inaweza kuja kuwa-cost. Wapanga ratiba wanapaswa kuliangalia hili piaUsikute kipindi Simba anacheza nyumbani mfululizo ulikuwa unachekelea mpaka jino la mwisho.
Kweli kabisa mkuu. Kila timu ina nafasiLolote linawezatokea na kwa timu yoyote kwa timu hizi mbili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu ratiba wanapanga TFFRatiba wamepanga yanga nn! Ndio maana hatuuendelei, ujanjaujanja kila sehemu!
Kweli kabisa mkuu, Azam tu ndo walizingua mwanzoni. Sipati picha na wao wangekua fiti toka mwanzo mechi ya leo ingekua na msisimko mara 2 zaidikidogo ligi ya safari hii inasisimua mpaka unatamani kila siku watu wakinukishe uwanjani
Kweli, ila hata kama Yanga akifungwa bado simba nae anikibarua kikubwa huko kanda ya ziwa. Kagera sugar sio wa spotispoti nyumbani kwao. Bado kuna wale branch la Yanga, Toto Africa huwa ni mwiba mkali sana kwa wekundu wa msimbazi haswa wakicheza kirumba.Mechi ya leo itaonyesha muelekeo
Mkuu huu sio uchozezi kweli? Not to that extent [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda bingwa pombe si ligi hili la vodacom
Mmh....mkuu tusubiri 90'. Kama Azam watakua na moto ule ule wa kuunganisha kifurushi cha 4G sioni wazee wa arosto wakitoboa. Imagine kipindi kile hawakua na arosto wala migogoro lakin waliunganishwa 4G.Tuanze na mechi za kesho kwanza. Yanga v Azam, watatoka?
Hili lilikua tatizo kubwa sana Eddo Kumwembe alilisema mwanzoni kabisa mwa msimu akasema simba inaweza kuja kuwa-cost. Wapanga ratiba wanapaswa kuliangalia hili pia
Ni kweli mkuu usemayo. Tunasafari ndefu sana Tz almost katika kila idara. Inapaswa tufikie hatua tuachane na hizi mambo. Achana tu na kununua hiyo mechi ichezwe taifa hilo kwa sasa hivi itakua ngumu kidogo ila umeshafikiria mechi kati ya simba na toto Africa? In background ni dhahiri Yanga watai-control hii mechi for their own benefit.ujanja ukajanja umejaa kwenye taasisi zetu nyingi, tukienda kimataifa tunabakwa! haileti picha mechi sita za kumalizia ligi tano zote uko nyumbani, usikute hata hiyo moja ya ugenini watainunua ( kama walivyofanya ndanda) kwamba nao waje taifa kwa kisingizio cha mapato!
tuna safari ndefu!
Kwa 98% Simba bingwa. Sasa hivi timu ipo kwenye kiwango cha juu na ina morali pia simba ana uwezo mkubwa sana kushinda mechi nje ya Dar na ukiangalia Hana mechi ngumu! Jiulize yanga anatoboza vipi kwa azam, mbeya city? Na Hata prison?MYANYAMA BINGWAKuna watu wana mawazo kwamba Simba anaweza kuwa bingwa 'NEVER'.
Marudiano bado.Tulisharudiana nao Taifa
Hahaha mkuu ligi bado wamekuaje sasa mabingwa.Msimu huu simba bingwa km mabingwa wengine.
Yanga leo anagongwa 2-0 km wanavyogongwa wengine.
Imagine hizo 2% zikawaangushaKwa 98% Simba bingwa. Sasa hivi timu ipo kwenye kiwango cha juu na ina morali pia simba ana uwezo mkubwa sana kushinda mechi nje ya Dar na ukiangalia Hana mechi ngumu! Jiulize yanga anatoboza vipi kwa azam, mbeya city? Na Hata prison?MYANYAMA BINGWA
Hahaha ukissikia bibi harusi kagoma siku ya tukio ndio leo. Azam hachomoki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zanzibar ilikua sendoff leo ndoa azam anachukua jiko