Pamoja na Simba sc kuongoza ligi lakini Yanga wana nafasi kubwa ya kuwa bingwa

Pamoja na Simba sc kuongoza ligi lakini Yanga wana nafasi kubwa ya kuwa bingwa

Usikute kipindi Simba anacheza nyumbani mfululizo ulikuwa unachekelea mpaka jino la mwisho.
Hili lilikua tatizo kubwa sana Eddo Kumwembe alilisema mwanzoni kabisa mwa msimu akasema simba inaweza kuja kuwa-cost. Wapanga ratiba wanapaswa kuliangalia hili pia
 
kidogo ligi ya safari hii inasisimua mpaka unatamani kila siku watu wakinukishe uwanjani
Kweli kabisa mkuu, Azam tu ndo walizingua mwanzoni. Sipati picha na wao wangekua fiti toka mwanzo mechi ya leo ingekua na msisimko mara 2 zaidi
 
Mechi ya leo itaonyesha muelekeo
Kweli, ila hata kama Yanga akifungwa bado simba nae anikibarua kikubwa huko kanda ya ziwa. Kagera sugar sio wa spotispoti nyumbani kwao. Bado kuna wale branch la Yanga, Toto Africa huwa ni mwiba mkali sana kwa wekundu wa msimbazi haswa wakicheza kirumba.
 
Tuanze na mechi za kesho kwanza. Yanga v Azam, watatoka?
Mmh....mkuu tusubiri 90'. Kama Azam watakua na moto ule ule wa kuunganisha kifurushi cha 4G sioni wazee wa arosto wakitoboa. Imagine kipindi kile hawakua na arosto wala migogoro lakin waliunganishwa 4G.
 
Hili lilikua tatizo kubwa sana Eddo Kumwembe alilisema mwanzoni kabisa mwa msimu akasema simba inaweza kuja kuwa-cost. Wapanga ratiba wanapaswa kuliangalia hili pia

ujanja ukajanja umejaa kwenye taasisi zetu nyingi, tukienda kimataifa tunabakwa! haileti picha mechi sita za kumalizia ligi tano zote uko nyumbani, usikute hata hiyo moja ya ugenini watainunua ( kama walivyofanya ndanda) kwamba nao waje taifa kwa kisingizio cha mapato!

tuna safari ndefu!
 
Ni kweli mkuu usemayo. Tunasafari ndefu sana Tz almost katika kila idara. Inapaswa tufikie hatua tuachane na hizi mambo. Achana tu na kununua hiyo mechi ichezwe taifa hilo kwa sasa hivi itakua ngumu kidogo ila umeshafikiria mechi kati ya simba na toto Africa? In background ni dhahiri Yanga watai-control hii mechi for their own benefit.
 
Msimu huu simba bingwa km mabingwa wengine.

Yanga leo anagongwa 2-0 km wanavyogongwa wengine.
 
Kuna watu wana mawazo kwamba Simba anaweza kuwa bingwa 'NEVER'.
Kwa 98% Simba bingwa. Sasa hivi timu ipo kwenye kiwango cha juu na ina morali pia simba ana uwezo mkubwa sana kushinda mechi nje ya Dar na ukiangalia Hana mechi ngumu! Jiulize yanga anatoboza vipi kwa azam, mbeya city? Na Hata prison?MYANYAMA BINGWA
 
Msimu huu simba bingwa km mabingwa wengine.

Yanga leo anagongwa 2-0 km wanavyogongwa wengine.
Hahaha mkuu ligi bado wamekuaje sasa mabingwa.

Usishangae ukakuta bibi harusi kagoma kuolewa.
 
Kwa 98% Simba bingwa. Sasa hivi timu ipo kwenye kiwango cha juu na ina morali pia simba ana uwezo mkubwa sana kushinda mechi nje ya Dar na ukiangalia Hana mechi ngumu! Jiulize yanga anatoboza vipi kwa azam, mbeya city? Na Hata prison?MYANYAMA BINGWA
Imagine hizo 2% zikawaangusha
 
Back
Top Bottom