vanity nmb
New Member
- Jan 26, 2017
- 4
- 3
Usipigie simba na yanga tu kushinda michezo yao yote na wengine pia wamekuja kushindana. Hizo hesabu zako za simba na yanga washinde michezo yote ni irrelevant kama mwana michezo huwezi kupiga hesabu hizo.Hesabu rahisi tu. Wacha Yanga ashinde mechi zake zote na Mnyama unyamani naye anashinda mechi zake zote. Simba haihitaji kucheza michezo miwili at per kama yanga (ashinde na aombe simba afungwe).
Msimu huu lazima kieleweke. Mnyama bingwa
Mkuu ligi bado.....5 games to go. Ila kesho zamu ya upande wa pili kujipapatua.Yanga mwaka huu bado
[emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39] Mkuu matusi ya nini sasa? Mkichukua mtapongezwa tu kwa kupambana. Miaka 5 ya utalii kwenye ligi sio kitu kizuri inabidi mpongezwe mkichukua.Wewe jamaa nakusubiri mwisho wa msimu Simba tukishabeba ndoo yetu. Walahi nitakutukana mpaka nipigwe ban. Sasa hivi ngoja nikuangalie tu.
Simba taifa kubwa. Mabigwa pasi na shaka2016/2017
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kikao kimehairishwa kwasababu zilizopo nje ya uwezo waoHaya tumekuja kwenye kikao ulichoitisha mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu bado hamjacheza lakin....kesho zamu yenuTimu zangu za Simba ma Arsenal zinajua kubugi at the "right" time!
Basi sawa....kesho zamu yenu mpwaSimba tumeyaona
Hata sijakutukana bado. Ila siku hiyo natoka taifa nitakua nakutukana hadi nafika msimbazi kudadeki😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39] Mkuu matusi ya nini sasa? Mkichukua mtapongezwa tu kwa kupambana. Miaka 5 ya utalii kwenye ligi sio kitu kizuri inabidi mpongezwe mkichukua.
Usipanic sana mkuu, Kesho zamu yenu na nyinyi kujipapatua.
We jamaa sio mzima....Huna haja ya kutukana unatakiwa kujipongeza..Hata sijakutukana bado. Ila siku hiyo natoka taifa nitakua nakutukana hadi nafika msimbazi kudadeki😀😀😀
Tusipochukua sijui nitajifichia wapi mimi...eeeh Mungu epusha lisitokee hili la Simba kukosa ubingwa mwaka huu!We jamaa sio mzima....Huna haja ya kutukana unatakiwa kujipongeza..
Kwa mfano asipochukua utafanyaje sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu, Mungu asikie maombi yako maana umemlilia kweli kweli......mpaka umekua Baba Mpole na si Baba Mkali tenaTusipochukua sijui nitajifichia wapi mimi...eeeh Mungu epusha lisitokee hili la Simba kukosa ubingwa mwaka huu!
Ndoo ya Yanga hii,kitachotokea mikia awatoaminiMkuu vipi ushaanza kuona mwanga?
Habari wadau,
Kama heading inavyojieleza hapo juu, nilikua napitia pitia ratiba za mechi za ligi kuu vpl zilizobaki kati ya simba na yanga nimekuja kugundua simba ana ratiba ngumu ikimsubiri mbele yake kuliko yanga.
Kila timu imebakisha mechi sita ili ligi kufikia ukingoni na simba ikiwa juu kwa tofauti ya point mbili.
Ukitazama kati ya mechi hizo 6, simba ana mechi 3 za ugenini dhidi ya kagera sugar, toto african na mbao fc. Unaweza kuona ni mechi rahisi lakini si rahisi kwa simba kuibuka na point zote 9 huko kanda ya ziwa japo ni jambo linalowezekana pia.
Pia simba ana mechi 3 ambazo atamalizia Dar dhidi ya Mwadui, stand na African lyon. Japo zinaonekana ni timu dhaifu lakn African lyon hawatabariki sometimes wanakua kama hamorapa kiboko ya mabishoo.
Ukirudi kwa hawa wamatopeni aka vyura almaarufu wa kimataifa ukipenda waite wazee wa arosto, wao wana mechi 5 nyumbani dhidi ya mbeya city, kagera, toto, prisons na azam fc.
Pamoja kuwa na mechi ngumu dhidi ya azam na mbeya city ila kucheza dar kunaweza kuwa catalyst kwao na kuweza kukusanya points nyingi kulinganisha Na simba aka wazee wa mchangani.
Sisemi Yanga ni lazima awe bingwa ila kwa kuangalia ratiba yake ilivyokaa ukiilinganisha na simba basi kama wakichanga karata zao vizuri watoto wajangwani wataibuka kidedea kwa msimu watatu mfulululizo.
Wazee wa mchangani na wazee wa arosto karibuni kutoa mapovu
Jamaa uliona mbali sana asee..Yanga bingwaHabari wadau,

Mkuu, washaanza kupoteana tayariNdoo ya Yanga hii,kitachotokea mikia awatoamini
Mkuu Simba hawa hawa au wengine? Leo washavutwa sharubu huko kaitaba.....Utabiri unaweza kutimiaYanga kuwa bingwa ni jambo la kawaida lkn kwa simba ni jambo kubwa sana hasa kutokana na miaka ya hivi karibuni kutoka patupu na tukiangalia kiufundi simba anauwezekano Mkubwa wa kuchukua kwa fomu walokuwa nayo tofauti na timu yangu yanga ambapo kwa sasa ipo katika wakati ngumu, na hii inachangiwa na wachezaji wengi muhimu wa kikosi cha kwanza kusumbuliwa na majeruha lakini pia na uchovu ulosababishwa na kucheza kwa misimu miwili bila mapumziko na kasumba ya timu nyingi zinazochukua ubingwa mfululizo kukosa hali ya ushindi.
Washapoteana huko Kaitaba mkuuSimba zam yetu