Pamoja na Simba sc kuongoza ligi lakini Yanga wana nafasi kubwa ya kuwa bingwa

Pamoja na Simba sc kuongoza ligi lakini Yanga wana nafasi kubwa ya kuwa bingwa

Mkuu Simba hawa hawa au wengine? Leo washavutwa sharubu huko kaitaba.....Utabiri unaweza kutimia
Mmmmh hawa jamaa hawadhaminiki mana sasa wanachofanya ni kutushawishi tubebe sisi.. Ila Hakuna namna mana kuogelea kina kirefu yahitaj uzoefu. Na kama wameshindwa kupendezesha nyumba yao kwa rangi haitopendeza kwa maua kamwe...
 
Wasi wasi wangu ni fitina za wale watu jangwani. Kama nawaona wanavyowatia ndimu Toto African kumrahisishia kazi Baba yao. Mkuu hawa jamaa wa mchangani kweli wanaeza kunywa chai kwa uluzi.
Wanataka kukimbia na hawana breki..
 
ujanja ukajanja umejaa kwenye taasisi zetu nyingi, tukienda kimataifa tunabakwa! haileti picha mechi sita za kumalizia ligi tano zote uko nyumbani, usikute hata hiyo moja ya ugenini watainunua ( kama walivyofanya ndanda) kwamba nao waje taifa kwa kisingizio cha mapato!

tuna safari ndefu!
Mbona huku lalamika pale mwanzoni mwa Ligi mlipoanza na Mechi 8 zote Dar?

Akinya Paka Kanya, ila Akinya Bata mnasema Kaharisha.
 
Mbona huku lalamika pale mwanzoni mwa Ligi mlipoanza na Mechi 8 zote Dar?

Akinya Paka Kanya, ila Akinya Bata mnasema Kaharisha.
Imelalamikiwa sana hii kitu! Niliona kwa Edo kumwembe! Next time tutafanya maandamano!
 
Samahani mkuu wamatopeni ni Yanga au Simba!??
Mkuu, kwa mujibu wa jamaa hapo mitaa ya msimbazi wanawaita watoto wa jangwani ni wa matopeni aka vyura kutokana na miundo mbinu ya makao makuu ya Yanga pindi mvua inaponyesha. Kwa hiyo ukisikia wamatopeni ujue ni Yanga ila ukisikia wa mchangani au wa hapahapa ujue ni watoto wa msimbazi
 
Mmmmh hawa jamaa hawadhaminiki mana sasa wanachofanya ni kutushawishi tubebe sisi.. Ila Hakuna namna mana kuogelea kina kirefu yahitaj uzoefu. Na kama wameshindwa kupendezesha nyumba yao kwa rangi haitopendeza kwa maua kamwe...
Wamesahau kwamba watoto wa jangwani hawajaribiwi... (in magus's voice )
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hiyo naitwa jino kwa jino. Naona hutaki ujirani mkuu
Nawapenda sana na nahitaji kuwa jirani nao. Ikiwezekana tuishi humba kimoja.
Hata tukiwa tumejifunika shuka/blanketi moja, sitanyamaza kumkumbusha jirani yangu kuwa YANGA BINGWA TENA hahahaha.
Ngoja niweke akiba ya maneno kwa ajili ya siku zijazo, hasa wakicheza na Toto na Mbao fc.
 
Mbona huku lalamika pale mwanzoni mwa Ligi mlipoanza na Mechi 8 zote Dar?

Akinya Paka Kanya, ila Akinya Bata mnasema Kaharisha.
Hahaha mkuu, wanamtafutia kiki manara. Ndo palipobakia hapo kupigia umbea
 
Nawapenda sana na nahitaji kuwa jirani nao. Ikiwezekana tuishi humba kimoja.
Hata tukiwa tumejifunika shuka/blanketi moja, sitanyamaza kumkumbusha jirani yangu kuwa YANGA BINGWA TENA hahahaha.
Ngoja niweke akiba ya maneno kwa ajili ya siku zijazo, hasa wakicheza na Toto na Mbao fc.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] well said mkuu, manake hapo wanasubiri uteleze patakua hapatoshi hapa.
 
Hawatanikuta kwenye uzi wa Yanga au simba. Nakua mchunguliaji tu. Kichapo sio mchezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama jamaa wakuitwa Baba Mkali naona anachungulia tu hapa na kupita kushoto.

Alihaidi kutukana kutoka taifa mpk msimbazi siku wanabeba ndoo.

Kufungwa kusikie kwa jirani tu
 
Hahaha. Tena mtu anaamua kuchungulia kama guest. Kuna jamaa jana watakuwa waliishiwa hata nguvu za kiume. Kwikwikwiiiiii
 
Kimsingi nafasi ya Simba kuwa bingwa imepungua sana kutokana na kutokuwa makini kwenye kumaliza mchezo.

Ktk project kuna kazi zinaitwa critical activities. Simba pamoja na kuwa timu bora kuliko zote ktk ligi ya mwaka huu wanashindwa kumaliza mchezo mapema hasa baada ya kuchungulia ratiba ilivyokaa ovyo.

Baada ya kufanya kazi nzuri kwa kumgonga Yanga, hawakupaswa kuziacha pointi 2 za Mbeya City wala hizi za Kagera.
Kazi imekuwa ngumu sana japo lolote linaweza kutokea
 
Kweli kabisa, Simba wanakosa focus, unawezaje kumfunga Yanga halafu mechi inayofuatia badala matokeo hayo yawe kichocheo cha ushindi nyie ndio mnaharibu.

Jambo lingine ni kucheza mpira kipindi cha pili na kurelax cha kwanza, hiyo ni strategy mbovu sana ndio maana mara nyingi Simba wanahaha kurudisha mabao yanayofungwa kipindi cha kwanza.

Cha mwisho pia kipa wetu awe makini na baadhi ya mipira inayopigwa toka mbali, anakuwa anajiposition vibaya sana. Kipa wetu bado hajaonekana kuwa ni match saver mara mabeki wanapokuwa wamepitwa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Msimbazi kunavuja hukoooooo kashatiwa mbili tayari na Mbao
 
Back
Top Bottom