mbati nenga
JF-Expert Member
- Feb 18, 2017
- 267
- 344
Mmmmh hawa jamaa hawadhaminiki mana sasa wanachofanya ni kutushawishi tubebe sisi.. Ila Hakuna namna mana kuogelea kina kirefu yahitaj uzoefu. Na kama wameshindwa kupendezesha nyumba yao kwa rangi haitopendeza kwa maua kamwe...Mkuu Simba hawa hawa au wengine? Leo washavutwa sharubu huko kaitaba.....Utabiri unaweza kutimia