Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 953
- 1,304
- Thread starter
- #41
Mavugo mavugo Namuona namuona.....anakula tu ubuyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmemuona Mavugo lakini?
Btw Mavugo yupo vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mavugo mavugo Namuona namuona.....anakula tu ubuyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmemuona Mavugo lakini?
Mkuu washatoka......Tuanze na mechi za kesho kwanza. Yanga v Azam, watatoka?
Mkuu vipi ushaanza kuona mwanga?Mechi ya leo na azam ndio itatupa mwanga wa ubingwa
Mkuu uelekeo umeuona?Mechi ya leo itaonyesha muelekeo
Mkuu imekuaje leo hapo taifa?Msimu huu simba bingwa km mabingwa wengine.
Yanga leo anagongwa 2-0 km wanavyogongwa wengine.
Mkuu nilikuambia umeona sasa mwali kagoma na shela lake?Zanzibar ilikua sendoff leo ndoa azam anachukua jiko
Mkuu, huu uzi utawashika pabaya.....tukiacha unazi ratiba ya simba imekaa vibaya mnoooWanasimba bana ulizeni hapo taifa vipi
Mkuu Azam kashaliwa kichwa....Ha ha ha haaa.. Umenipa raha sana mkuu, ngoja waje, ila binafsi nawaogopa sana Azam na Mbeya city, hawa Mbeya city alivyotukazia kule mbeya ile november ilikua hatari sana,
Simba tumeyaonaMkuu uelekeo umeuona?
TegaaaKitendawili....!
Haaaah aaah noma kweli,,mkuu umesahu mechi saba za simba za mwanzo alichezea dar,,..Ratiba wamepanga yanga nn! Ndio maana hatuuendelei, ujanjaujanja kila sehemu!
Haya tumekuja kwenye kikao ulichoitisha mkuuNaona leo mmekutana na Arosto zenu! Mechi ya leo Yanga atapigwa 2 kavu. Tukutane hapa baada ya mechi maana mnachonga kama vila Azam ni timu ya matopeni.
OkKwa 98% Simba bingwa. Sasa hivi timu ipo kwenye kiwango cha juu na ina morali pia simba ana uwezo mkubwa sana kushinda mechi nje ya Dar na ukiangalia Hana mechi ngumu! Jiulize yanga anatoboza vipi kwa azam, mbeya city? Na Hata prison?MYANYAMA BINGWA
Wewe jamaa nakusubiri mwisho wa msimu Simba tukishabeba ndoo yetu. Walahi nitakutukana mpaka nipigwe ban. Sasa hivi ngoja nikuangalie tu.Kuna watu wana mawazo kwamba Simba anaweza kuwa bingwa 'NEVER'.
Hesabu rahisi tu. Wacha Yanga ashinde mechi zake zote na Mnyama unyamani naye anashinda mechi zake zote. Simba haihitaji kucheza michezo miwili at per kama yanga (ashinde na aombe simba afungwe).Mkuu nilikuambia umeona sasa mwali kagoma na shela lake?