Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Tumia akili, kama huna akili azima za wengineHivi kuna kitu muhimu Kwa nchi yoyote kuzidi Katiba? Au mwenzetu unasombwa na akili za kina Mkama wanàosema watu hawali Katiba? Na kama hawali Katiba ndo wanakula mabwawa Sasa?
Umaskini mbaya mkuu, ukifanya biashara na Urusi unawekewa vikwazo, misaada na mikopo ndio basi tena,Nasikia vikwazo vya chakula na mbolea vimeondolewa Urusi. Why wasiende kuchukua mbolea kule na ni bei rahisi mno, yani mbolea bongo bei kubwa mno wakati Urusi bei ya kutupa inasikitisha sana! Ingesaidia sana mana Uchumi wetu unategemea sana kilimo, siku hiz watu hawalimi sana kisa mbolea imepanda. Aliyeturoga waAfrica alaaniwe!
Jibu swali kuna kitu muhimu kama KATIBA??Tumia akili, kama huna akili azima za wengine