Hofu Imetoweka
Wakati huu hata nikisikia kelele nje ya nyumba/geti najua kabisa hawa ni vibaka au wanga wapo kwenye mbishe zao, na ninao uwezo wa kufungua mlango na kutoka nje kuangaza macho kulikoni.
Enzi za Bwana yule, kwa sababu ya watu ninaohusiana nao kijamii na kikazi nilikuwa na hofu kabisa nikishaingia ndani ya nyumba saa 1 jioni sitoki hadi kesho, manake hatukujua Wasiojulikana tutakutana nao wapi, ahsante Mungu kwa kuruhusu upepo ule upite na waliouumba.
Tozo, bidhaa bei juu lakini bora kipi? BORA UHAI.
Ahsante Samia🙏😘