Pamoja na Udhaifu Wote wa Simba, Watachukua Kombe la Shirikisho

Kama kutakua hakuna wachezaji wenye virago vya paul nonga na khamis kiiza watachukua ila kama wapo basi hawawezi kubeba ndoo
 
Nilichogundua uwanja wa sokoine ulikuwa mbovu Sana

Vinginevyo mbeya City angemfunga simba hata magoli manne..
 
Naomba mtunze hii kumbukumbu, pamoja na udhaifu tunaouona kwa timu ya Simba, hawa ndio mabingwa wa kombe la shirikisho 2022.

Tunza hii..
Ha haaaa..... Karibu sana JF mjukuu wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…